Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

Rangi: singida-manyara
Umbo: mbeya-bukoba-mwanza-ruvuma(ngoni)
 
DAR ES SALAAM Huku kuna miksa ya warembo kutoka mikoa yote TZ
Ndio dar inaongoza kwa warembo

Unajua kila mwanamke..anaweza kuonekana au kujiona mrembo lakini sio wote wanaweza kuwa simply WANAWAKE WAZURI

WANAWAKE wazuri hata bila kipodozi hajifichi
Singida,Bukoba ;mara;arusha ,kilimanjaro,tanga etc

Na sio uzuri tu tunaangalia .....kwani bado kwa wanawake wazuri na wanaojua mahaba na wasio na makuu kwenye uhongaji wako Tanga ....huwa hawana haraka na mwanume

Wanawake Majambazi wako Dar hao hata hujanywa maji ukamaliza itakuwa Birthday yake ,kodi imeeisha ,anauguliwa ,kafiwa....hapo ni nje ya sina voucher,sina airtime ,babe sijala ...babe guess what @huwezi amini kuna magauni...yamepita...oooh send off....oooh chixken..party ooooh babe shower
Uuuuuwi Take me oooh godi!!#
 
mikoa yote ina warembo- maana urembo ni subjective term.
 
kuna tofauti kati ya uzuri wa mtu na weupe wa mtu, wengi wetu kila aliye mweupe ni mzuri kuzidi mweusi of which we are wrong..


kwamgu mimi dada aliye na asili yake yaani hajajichubua, ana nywele zake za asili lakini amezitunza vizuri sana, mwenye mavazi ya kiafrica na yaliyovaliwa kwa weredi wa kujiheshimu zaidi kwangu mimi awe mweupe au mwesi, awe mnene au mwembamba mrefu au mfupi kwangu mimi huyo ni mzuri na mrembo..

kazi kwenu kutafuta mkoa wenye watu wengi wa aina hiyo hapa motherland tanzania.



bastola ya nini tena!
cc: Mzee Mwanakijiji
 
Back
Top Bottom