mmh hapo patata sasa,Umeambiwa UPI zaidi
Kweli aisee... hata ukitoka kwenu una sura ya babako ukija Dar lazima uwe mrembo tu. Sijui kwanini yani...DAR ES SALAAM Huku kuna miksa ya warembo kutoka mikoa yote TZ
Umeonaeemmh hapo patata sasa,
ndiondioUmeonaee
Ha ha haKibiti
Kuna whatsap mtu anakuitandiondio
Sawa lovly sistaKuna whatsap mtu anakuita
ArtificialsLol, Dar es salaam mambo yote.
warembo wa Dar wamejaliwa si mchezo yani.
KimbiaSawa lovly sista
nimeshamuona hahahaKimbia
True, ila kwa kupendezesha macho si mbaya, lolArtificials
Vigimbi iringa na njombeUzuri kamili wa mwanamke ktk muonekano upo ktk sura, kifua, hips, tako na miguu bila kusahau tumbo na kimo!
Kwa sura kilimanjaro, tako na hips kagera, miguu mtwara, kimo singida nk
Singida oyeeeee!Arusha kuna warembi jamani, Warembo wengi wa arusha ni makabila ya singida na tabora kwa hiyo kiufupi singida na tabora ni kwikwi, Shep matata, Uso mzuri hata bila make ups, Sio wafupi na hawaga makuu wala hawajisikii.
Hapa nilipo nipo Mbeya na ndio home nliopokaa muda mrefu, Hawa wanyakyuusa tatizo lao wana dramaz nyingu