Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

DAR ES SALAAM Huku kuna miksa ya warembo kutoka mikoa yote TZ
Kweli aisee... hata ukitoka kwenu una sura ya babako ukija Dar lazima uwe mrembo tu. Sijui kwanini yani...
Wanawake wa Dar wazuri kweli
 
Lol, Dar es salaam mambo yote.
warembo wa Dar wamejaliwa si mchezo yani.
 
Arusha kuna warembi jamani, Warembo wengi wa arusha ni makabila ya singida na tabora kwa hiyo kiufupi singida na tabora ni kwikwi, Shep matata, Uso mzuri hata bila make ups, Sio wafupi na hawaga makuu wala hawajisikii.

Hapa nilipo nipo Mbeya na ndio home nliopokaa muda mrefu, Hawa wanyakyuusa tatizo lao wana dramaz nyingu
 
Singida oyeeeee!
 
Back
Top Bottom