Kaka singida Manyara na Arusha sifa zote hizo zipo. Usisahahu pia Tanga na Tabora. Maana damu ya mwarabu imeacha machotara huko.Uzuri kamili wa mwanamke ktk muonekano upo ktk sura, kifua, hips, tako na miguu bila kusahau tumbo na kimo!
Kwa sura kilimanjaro, tako na hips kagera, miguu mtwara, kimo singida nk
Kilimanjaro ipi mkuu? Same au bomang'ombe... huko chura ni adimu. Ukitaka chura nenda kanda ya ziwa na usukumani hadi tabora.weeeee Kilimanjaro wanaongoza kwa Chura bana wana lifti sio ya nchi hii
Singida wazuri sana!Kaka singida Manyara na Arusha sifa zote hizo zipo. Usisahahu pia Tanga na Tabora. Maana damu ya mwarabu imeacha machotara huko.
Hahahhaaa[emoji109] [emoji106] [emoji115]True, ila kwa kupendezesha macho si mbaya, lol
Naomba nitoe angalizo hapa wadau waje na statistical data sio mambo ya kukarii hapa au hadithi za kwenye kahawaBila hofu yoyote mtakua fresh nyote ambaye hayuko poa pole yake
tuambie ni mkoa gani ambao una ongoza kuwa na watoto wakali a.k.a wazuri (warembo)? Hapa Tanzania
Karibuni sana
Moshi aisee ata ukitaka kukaa kwenye chura unakaa jinsi ilivyo vimbaKilimanjaro ipi mkuu? Same au bomang'ombe... huko chura ni adimu. Ukitaka chura nenda kanda ya ziwa na usukumani hadi tabora.
Kweli na atoe maana ya uzuri na sifa zakeNaomba nitoe angalizo hapa wadau waje na statistical data sio mambo ya kukarii hapa au hadithi za kwenye kahawa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Tako lipo la ushahidi tu nimecheka kweli tutake radhi MkuuMwanamke ni bungubungu na mguu...
Kama sura hata mbuzi anayo.
Kwa vigezo hivi Jiji la mawe linavimwana bhana.
Unakuta binti kajaa neema za Allah na mguu unafanana na chupa ya bia.
Lakini singida,Arusha,Kilimanjaro etc unakuta binti anasura nzuri ila shepu imekaa kama upinde.
Vimiguu vyenyewe vyembamba, tako lipo la ushahidi tu argghh!
Hahah labda km unaongelea misambwanda ya asili,kule wako njema sana.Tarime
niwie radhi mkuu πππ[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Tako lipo la ushahidi tu nimecheka kweli tutake radhi Mkuu