Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

Uzuri kamili wa mwanamke ktk muonekano upo ktk sura, kifua, hips, tako na miguu bila kusahau tumbo na kimo!
Kwa sura kilimanjaro, tako na hips kagera, miguu mtwara, kimo singida nk
Kaka singida Manyara na Arusha sifa zote hizo zipo. Usisahahu pia Tanga na Tabora. Maana damu ya mwarabu imeacha machotara huko.
 
Bila hofu yoyote mtakua fresh nyote ambaye hayuko poa pole yake

tuambie ni mkoa gani ambao una ongoza kuwa na watoto wakali a.k.a wazuri (warembo)? Hapa Tanzania
Karibuni sana
Naomba nitoe angalizo hapa wadau waje na statistical data sio mambo ya kukarii hapa au hadithi za kwenye kahawa
 
sisi tunakaa kwenye warembo tuulize nini. Reverse ya swali? Huu ni utoto tuu mkikuwa mtaacha. Hakuna penye nafuu.wazuri na wabaya ni hao hao.
 
Mwanamke ni bungubungu na mguu...
Kama sura hata mbuzi anayo.
Kwa vigezo hivi Jiji la mawe linavimwana bhana.
Unakuta binti kajaa neema za Allah na mguu unafanana na chupa ya bia.
Lakini singida,Arusha,Kilimanjaro etc unakuta binti anasura nzuri ila shepu imekaa kama upinde.
Vimiguu vyenyewe vyembamba, tako lipo la ushahidi tu argghh!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Tako lipo la ushahidi tu nimecheka kweli tutake radhi Mkuu
 
Back
Top Bottom