mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kama Hayati Magufuli angekuwa hai mpaka keo,hyenda Chato ingeshakuwa mkoa unaojitegemea
Kama tunavyofahamu hulka yake wala asingesubiri vikao vya wadau kutoa maoendekezo,angeamka asubuhi na kutangaza oresidential decree kuwa Chato ni mkoa.
Baada ya kufariki hiyo ndoto ya Chato kuwa mkoa imezima ghafla,
Nikukumbushe mkoa huu ungemega maeneo ya wilaya ya Muleba mpaka magarini,wilaya yote ya Ngara, Kakonko na Biharamulo na Chato yenyewe.
Vikao vta wadau wa suala hilo walimuwa tayari kutengenezewa mkoa wao kwa sharti kuwa makao makuu ya mkoa yawe Nyakanazi ambapo ndio katikati lakini wadau wa Chato walikataa ombi hilo ni vikao vimefungwa rasmi
Hakuna tena mkoa wa Chato