Mkoa mpya wa Chato washindikana, wadau wataka makao makuu ya mkoa yawe Nyakanazi, Wanachato wakataa wasema bora wabakie Geita

Mkoa mpya wa Chato washindikana, wadau wataka makao makuu ya mkoa yawe Nyakanazi, Wanachato wakataa wasema bora wabakie Geita

Mkuu unaonekana una uwezo mkubwa sana wa kutambua yaliyo akilini na rohoni mwa mtu!

Au ulikua katibu muhtasi wa Magufuli!

Magufuli alitangaza ujenzi wa Stiglers Gorge na dunia yote ikawa kinyume nae ila bwawa likajengwa...

Aliogopaje hili la mkoa wa Chato?

Umenikumbusha Kizimkazi, unataka kuniambia na penyewe panaenda kua mkoa?

Maana miundombinu inajengwa kila kona hapo...
Ni lini aliwahi kutangaza kuhusu unenzi wa Chato international Airport? Lakini ulijengwa kimya kimya fasta mpaka ulipokamilika
 
Hakuna ligi hapa...

Hapa tunajadili lakini kwa fact sio kwa chuki...

Leta hiyo taarifa tuisome wote, ni wewe ndio umeileta kwenye mada hii.
Hukuangalia luninga hotuba ya mwakilishi wa wazee wa chato,alisema bayana kuwa mchakato ulikuwa umeanza na akamuomba nama Samua aumalizie,Samia akajibu kuwa kama wana meet vigezo mkoa utapatikana au Umesahau na hilo
 
Ni lini aliwahi kutangaza kuhusu unenzi wa Chato international Airport? Lakini ulijengwa kimya kimya fasta mpaka ulipokamilika

Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato​

Start Date: 2017-08-17​

End Date: 2018-06-13​

Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato wenye runway ya Kilometa 3, unasimamiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.Mradi huu ukikamilika utakuwa na fursa ya usafirishaj
 
Hukuangalia luninga hotuba ya mwakilishi wa wazee wa chato,alisema bayana kuwa mchakato ulikuwa umeanza na akamuomba nama Samua aumalizie,Samia akajibu kuwa kama wana meet vigezo mkoa utapatikana au Umesahau na hilo
Weka video hapa, kama ni kweli takubali.
 
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato​

Start Date: 2017-08-17​

End Date: 2018-06-13​

Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato wenye runway ya Kilometa 3, unasimamiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.Mradi huu ukikamilika utakuwa na fursa ya usafirishaj
Hujanielewa,nilini alitamka kwakinywa chake kuwa huo uwanja utajengwa au unajengwa?
Na mkoa ni hivyo hivyo hakuwahi kutamka ila alikuwa behind the motive.
 
Hujanielewa,nilini alitamka kwakinywa chake kuwa huo uwanja utajengwa au unajengwa?
Na mkoa ni hivyo hivyo hakuwahi kutamka ila alikuwa behind the motive.
Wakati anajenga daraja la ruvu aliongea wapi?

Tunahitaji documents hapa, sio utabiri.
 
Wakati anajenga daraja la ruvu aliongea wapi?
Naomba kuJua umri wako kwanza,maana unajitia kidole na kunusa,kumbe tumekubaluana kuwa sio project zote akitamka kwa kinywa chake,basi chato imo
 
Wakati anajenga daraja la ruvu aliongea wapi?
Naomba kujua umri wako kwanza,maana unajitia kidole na kunusa,kumbe tumekubaluana kuwa sio project zote akitamka kwa kinywa chake,basi chato imo
 
Naomba kuJua umri wako kwanza,maana unajitia kidole na kunusa,kumbe tumekubaluana kuwa sio project zote akitamka kwa kinywa chake,basi chato imo
Namaanisha hakuongea lakini documents zipo...

Huu si utabiri.
 
Umehama mada au unajaribu kujenga hoja?

Kama umehama mada, nijibu haya...

Weka ushahidi hapa wa huo uporaji wa fedha za hazina kipindi cha Magufuli!

Weka ushahidi hapa wa uwanja wa Chato kujengwa kwa 1.5 trilioni.
Kisa cha CAG kung'olewa kinyume na utaratibu pia kinyume na katiba wakati kinafanyika ulikuwa bado haujazaliwa?
 
Hakuna raisi alikua muwazi kama JPM...

Kwasababu ya kujiamini aliweza kutamka mipango yake mingi hadharani bila kujali watu watamuonaje!

Iwe mipango ya hovyo au mizuri...

Hili la Chato kua mkoa kwanini alifanye kimyakimya? Alimuogopa nani?
Kwahiyo ulitarajia aongee wazi wazi mpango wa kuifanya Chato kuwa mkoa wakati kila mmoja anafahamu haina sifa?! Tafakari: Baada ya kuwa rais tu, akahakikisha uwanja mkubwa wa ndege unajengwa! Ikajengwa hospitali ya rufaa ya kanda ya kanda ya Chato(yaani badala ya kujengwa Geita ikaenda kujengwa Chato)! Akahahakikisha TRA wanajenga jengo kubwa! NHC ikapeleka mradi wa nyumba! Ikajengwa bohari ya madawa! Kama haitoshi, wakaanzisha Mbuga ya Bugiri ambayo hata hivyo wanyama kama simba ikabidi watolewe kwingine na kupelekwa Chato, akaanza hadi mtindo wa kupokea wageni wa kitaifa kutokea Chato!Yote hayo yalifanyika ndani ya miaka 5! Saa bado tu huoni hayo yalikuwa maandalizi ili hata itakapotangazwa rasmi ionekane Chato ina sifa?

Pamoja na hayo, msikilize Samia hapa siku ya maziko ya JPM

View: https://www.youtube.com/watch?v=UmeRoTwBg54

Ili nisikuchoshe, anzia Dakika 1 Sekunde 55
 
Mzee alipapendelea sana chato Bila shaka sababu ni kwao, geita ikabaki kama ilivo.
 
Back
Top Bottom