Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

HUYU JAMAA ALIYELETA HII THREAD KALETA KITU ANACHOFIKIRIA YEYE NA KUTAMANI .

SIO KWELI NA HAKUNA JAMBO HILO
 
Njombe kilimo Cha miti na mbao kinasaidia na swala sio kugaiwa huo mkoa mzee. Ingekuwa kugawa ni maendeleo basi Manyara ingeshapaa kiuchumi ukiongeza na katavi
Ni kweli mchaga na Mzaramo ni Mbingu na ardhi.....huwezi mkuta Mzaramo kwenye miji ya watu anauza au muhudumu wa Bar. Na nadra pia kumkuta mikoani/vijijini kwenu anafanya makazi ya kudumu na haitatokea labda awe anafanya kazi.
 
Ni sahihi kabisa

Wilaya ya handeni kubwa mno ilistahili iwe hata mkoa siku byingi

Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio Handeni inapakana na mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi


Na mkoa wa Manyara kule Kiteto Songe.
 
Mmh mm nimpare ila huwezi mfananisha mchaga na mzaramo ,mzaramo akipata hela yy anawaza kwenda kwenye ngoma na ngono
Ngoma ni starehe yao...kama mchaga na pombe. Alafu kwenye ngono mzaramo hamzidi mpare. Wapare ndio wapenda ngono wanawake kwa wanaume.
 
Kwanini wasiiupe jina la Milima ya Usambara,wauite Mkoa wa Usambara.
Ndivyo na mm nilivyosikia kuwa utaitwa mkoa wa Usambara kwa kuchukua Kilindi ,Handeni itagawanyika mara2 ,Lushoto,Korogwe yenyewe .Alafu mkoa wa Tanga unabaki na Tanga jiji,Pangani,Mheza na Mkinga.
 
..wakati wa ukoloni wa Muingereza, na miaka michache baada ya uhuru wa Tanganyika, kulikuwa na jimbo la Tanga.

..katika jimbo la Tanga kulikuwa na wilaya ya Pare, ambayo baadae ilikuja kuzaa wilaya za Same na Mwanga.

..wakati wa kuunda mikoa, majimbo ya Kaskazini na Tanga, yalichangia maeneo yaliyounda mkoa wa Kilimanjaro.

..kwa hiyo wilaya ya Pare [ Same + Mwanga ] ilimegwa toka jimbo la Tanga kwenda kuunda mkoa mpya wa Kilimanjaro.

NB:

..mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo sana, sioni uwezekano wa kuugawa mkoa huo.


Na.JimboIdadi ya WakaziEneo (km²)Makao makuuMikoa ya baadaye
1.Kati886,96294,301DodomaDodoma, Singida
2.Mashariki955,828107,630Dar es SalaamPwani (kisehemu), Morogoro
3.Dar es Salaam128,7421,393Dar es SalaamPwani (kisehemu)
4.Ziwani1,731,794107,711MwanzaMara, Mwanza, Shinyanga (kisehemu)
5.Ziwa Magharibi514,43128,388BukobaZiwa Magharibi
6.Kaskazini772,43485,374ArushaArusha, Kilimanjaro (kisehemu)
7.Kusini1,014,265143,027MtwaraMtwara, Ruvuma
8.Nyanda za Juu za Kusini1,030,269119,253MbeyaIringa, Mbeya (kisehemu)
9.Tanga688,29035,750TangaKilimanjaro (kisehemu), Tanga
10.Magharibi1,062,598203,068TaboraKigoma, Mbeya (kisehemu), Shinyanga (kisehemu), Tabora

cc MTENGETI, ngwanduu, Yako Atta
 
Ni kweli mchaga na Mzaramo ni Mbingu na ardhi.....huwezi mkuta Mzaramo kwenye miji ya watu anauza au muhudumu wa Bar. Na nadra pia kumkuta mikoani/vijijini kwenu anafanya makazi ya kudumu na haitatokea labda awe anafanya kazi.
Si ndio akawa mswahili anawaza ngoma tu mkuu na sio investment kabisa yeye ngoma tu
 
Back
Top Bottom