Mkoa uliong'aa (THE SHINY BUKOBA) Leo hii Umekuwa Mkoa Mweusi (THE DARK BUKOBA) kwenye kila sekta ya Maendeleo;Nini Kimetokea kwa Nshomile Hawa

the power

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
407
Reaction score
799
Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa. Lakini mimi kwa kuwa ni mdau wa mkoa huo, niliona tusijikite kwenye festival tu, tuangalie picha kubwa (big picture of what happened), kwani hali ni mbaya sana sasa, yaani ni mbaya sasa, tena sana kwa wenzetu nshomile hawa wa Bukoba.

Kwanza,ni kweli hakuna haja ya kuweka Bahaya Festival Dar es salaam, ili iweje? (maswali ya "the so what" ni muhimu kuulizana) labda kama ni show off tu ambayo ndio msingi (sababu) za Wahaya wengi kufanya mambo fulani wanayoyaita big things; wahaya wengi mtanisamehe wanatanguliza show off badala ya chochote (najua watapinga ila ndio ukweli.kabombone!kamboleke!), Pili ni kweli Bukoba inatia haibu sana kuanzia kwenye Miundo mbinu hiyo , Soko , Stendi hata elimu;na ni kweli husiopingika, hali inatisha.

Kibaya zaidi hawa watu walipewa fedha za kurekebisha mambo makubwa haya muhimu, kwanza walipewa fedha za miundo mbinu hasa barabara , fedha zile za world bank, Kagasheki wakati huo Mbunge tena a very exposed person, suprisingly na Meya yule Mhaya wa shule zake za Kaizirage wakaishia kurumbana na kuswair each other kwamba ni bora fedha zirudi ila zisimpe crediti mmoja wapo;can you imagine- Pathetic; Leo nenda Mbeya, nenda Morogoro, nenda Mtwara, nenda Mikoa ya kusini mikoa iliyotumia hizo fedha vizuri, ni kama ulaya, unaweza kutoa machozi ni nani kawaroga nshomile wa Bukoba?

Sikushangaa kabisa kilichotokea,mnakumbuka mpaka Mh makonda na katibu wa Chama tawala walitembelea BKB lakini hakuna kilichotokea. Unajua nini maana yake nikitafsiri ki-tabia za kihaya; kwanza hiyo ni tabia mojawapo ya Wahaya;"Tindamba embwa maguru",kwamba niko tayari kuishi maisha ya shida, dhiki ,hata kuhatarisha maisha ya familia, mke watoto na ndugu lakini sio kumyenyekea mtu (wanasahahu ukila na kipofu husimshike mkono, pia watu wote waliofanikiwa, walishikwa mkono wakati fulani na mtu au watu au institution)

Pia wahaya hata kwenye upande wa Battle (urguments, mabishano, upinzani) the same, Mhaya yuko tayari kuloose chochote alichonacho, yuko tayari watu wote , ndugu, jamaa na marafiki wahangamie ili mradi aweze kushinda battle dhidi ya mwenzake , ndivyo ilivyokuwa kwa Kagasheki na Meya wake. walishikilia misimamo yao na walikuwa radhi fedha zirudi workd bank, mkoa ubaki bila barabara ,bila soko lakini mmojawapo hasishinde hiyo Battle;hivi leo hii wakitembeakwenye barabara za mashimo, soko chafu, baya wala halistahili kuitwa soko la Bukoba wanajisikiaje , nafsi zao zinawaambia nini.Ila kwa Wahaya wasivyokubali kushindwa utakuta mpaka leo wanaona walikuwa sahihi, na wapambe wanawakubali.

Kibaya zaidi kwenye uponde wa suluhisho, Mhaya akishasema no, yaani hata umpeleke kwa mpiga tumbi, hata umuwekee risasi , itabakia no! anaweza kunyamaza au kukubali ili lipite lakini hatatenda. Ndivyo walivyokuwa groomed, na siyo kwa sababu ya ushupavu, la hasha, huo msimamo ni ubishi wa nature, kutotaka kushindwa na ndio nature yao.

Ebu fikilia, ulishawahi kubishana na Mhaya wewe? je ilikuwaje kwenye ubishi huo, ila ninawapa credit moja, Wahaya wengi huwaga ni watu wa data, wako well informed. wengi wanaurgue kwa kussuport na data na evidence, they know their line of argument, contents, phrases, na flow hata kama iko negative au positive dhidi ya ukweli halisi.Kwa hiyo nilivyoona Makonda na Katibu wake wakienda kusuruhisha nilijua hakuna kitu kitabadilika.

Turudi kwenye mada, Wahaya walipewa fursa nyingine ya kujenga soko la Bukoba, walipewa fursa za kujenga chuo kikuu kupitia kwa Makanisa yao ya miaka mingi; SAUTI-Branch-RC na University of Kagera-KKT, lakini kwa ujuaji na unshomile, mipango mizuri hiyo, fursa kubwa hizo zimeishia hewani, SAUTI -Branch kama sio imefungwa basi inachechemea na hakuna cha University of Kagera au cha KKT.

Yaani kwa sasa Bukoba imebakia kama gofu. Kwa faida ya vijana wa 2000, Gen-Z-kama hamjui katika miaka ya themanini na tisini, Mkoa wa Bukoba /Kagera (the great and used to be the prominent Kagera region) nimetumia majina mawili ya mkoa "interchangeably" kama wahaya wanavyosemaga. Kagera ndio uliokuwa mkoa kati ya mikoa mitatu iliyokuwa ikiongoza Tanzania kwa kufaulisha O-Level na A-level na Wahaya walikuwa ndio sio tu kwenye vyuo vikuu bali wakiongoza vyuo vikuu kujaza vichwa (vipanga)katika vyuo vikuu chuo vya UDSM, MUCHS na Ardhi University (kwani ndivyo vilikuwa vyuo vikuu peke yake Tanzania).

Kwa hakika ,Wahaya ndio waliongoza kati ya wasomi wazuri kwenye sector zote za uchumi ,ukitaja ma-professor wazuri-wahaya wapo, ukitaja ma-engeneers wazuri-wahaya wapo, tena ukitaja ma-archtecture wazuri-wahaya hawakosi, na ukitaja wanasheria wazuri; (by the way Wahaya ni wabishi by nature na hii inborn traits iliwasaidia kwenye sheria) nakwambia utawakuta wamo tena ndio vinara wa sheria. Sasa leo niambie nini kimetokea graph imeshuka kutoka 90% mpaka 2-3% kwenye kila eneo nililotaja juu. Jibu lake hiyo itakuwa ni topic mpya na inahitaji mjadala wake tofauti.

Just kupre-empty mjadala mkubwa wa kwa nini Bukoba imepatwa na majanga haya. Nitataja sababu moja ya kuanzia ingawa kwako waweza kusema ilitakiwa iwe sababu ya mwisho kwa uzito -UTAPIAMLO-MALNUTRITION (both Marasmus, Kwashiorkor na mixed Marsamus-Kwashiorkor.) Recently, baada ya report ya Tanzania Demographic Health Survey iliyonyesha Bukoba inaongoza kati ya mikoa yote kwenye utapiamlo. Kwangu nilikuwa shocked na sikuhamini, ila wazungu walisema data never lie, Hivi ni kweli Bukoba wajameni -ki-elimu tuko mwisho na kiafya tuko mwisho; tunaongoza kwenye utapiamlo, je unategemea nini kama Mkoa unaongoza kwenye the big two negative attribute za umasikini na za kurudisha nyuma maendeleo.

Ebu Turudi nyuma kidogo, mkoa wa Kagera ulikuwa ukiongoza kwenye kuzalisha mazao mengi ya chakula na biashara; ndizi, viazi, matunda, Maharagwe, Mihogo ya aina mbalimbali, Njugu, Mboga za majani, Mahindi, Mchele n.k. Hakika Kagera walikuwa wanazalisha maziwa ya kutosha na nyama fresh Za ngombe mpaka kufikia kuuza nje ya mkoa na kusafirisha nje ya nchi. Hapo siongele protein rich foods kama mboga kama samaki. n.k haikuwa shida, nakuambia kila kijiji asubuhi ulikuwa ukisikia king'ora cha kibuyu kuashiria dagaa na samaki cheza kwa bei rahisi, ninasema kila kijiji, jamaa wanapita nyumba kwa nyumba kama sensa.

Hakika sikuwahi kusikia utapiamlo au kuona watoto wenye utapiamlo kwa miaka 15 yote niliyokaa mkoa huo. Ni nini kimetokea Yarabi, nitaongelea detail root cause ya kile kilichotokea kwenye andiko langu lijalo.

Kuhitimisha, ili ni fumbo, hili ni swali gumu na lazima tulipatie majibu, nini kimetokea kwenye mkoa wetu pendwa mpaka mkoa unakuwa nyuma kielimu, unakuwa nyuma kiafya, unakuwa nyuma kwenye sekta zote za kimaendeleo?. Ni hatari sana, kiufupi tu, nitadadavua baadhi ya visababishi kwenye andiko langu lijalo. Bila ubishi: 1) uvivu wa kutisha, 2) uchawi (kulaguza), 3) vijana kuamini kwenye quick gain e.g bodaboda, biashara za ndizi na pombe 4) Roho mbaya za kutisha, 5) Unafiki na 7) familia nyingi kutothamini elimu ni baadhi tu ya visababishi vilivyofanya the one used to be the "Shinny, appealing and well smelling Bukoba region to turn into the Dark, oval and foul smelling Bukoba region.

Wahaya (nshomile) naomba mnisamehe kama baadhi ya phrases zimewakwaza ni muono wangu tu (personal perspective) , najua hampendi kuambiwa ukweli, ila mkae mkijua ukweli tu ndio utawaweka huru.
 
Kama hayo yote wanayofanya hayawaletei mafanikio basi hitimisho ni kuwa wahaya ni wajinga
Anyway ni Moja kati ya mikoa migumu kabisa kufanya kazi tz
Ahhhaaaa nimecheka sana, hasa ulivyohitimisha ni moja kati ya mikoa migumu kufanya kazi TZ.
 
TimePhoto_20240828_083127.jpg
 
Nimeishia kusoma pale uliposema Mh Bashite nkajuwa na wewe ndiyo wale wale Bashite type
 
Bukoba ni Mkoa??
Ndani ya article, mwandishi amelitolea maelezo hilo kwamba atatumia majina ya Kagera na Bukoba interchangeably, Anafahamu kabisa kwamba Bukoba ni wilaya, tena ziko mbili, Bukoba mjini na Vijijini. Kuna sababu kuu nje ya upeo wako ambaye hujawai kuishi (Bukoba/Kagera). Ila article kubwa yenye parfagraph zaidi ya 20, wewe umeona hilo tu kama Bukoba ni mkoa
 
Haya
 
Sasa hao wahaya wao si wanaringia kusoma, labda hawasemi somo la Maendeleo bali la kutokujipenda. Ila walio kwenye uongozi wa mkoa hivyo vyeo vyeo vyao nao wamulikiwe 😁
 
Nimeishia kusoma pale uliposema Mh Bashite nkajuwa na wewe ndiyo wale wale Bashite type
Mwandishi katoa mfano wa Mh Bashite kama kisa mkasa cha kuonyesha jinsi wahaya ni wagumu sana kuwabadilisha tabia zao za Kiburi, majivuno na misimamo sehemu nyingine hisiyo na maana. Kizuri alitaka kuonyesha jinsi gani Mbunge (Kagasheki ) na Meya walivyoshindana mpaka kukosesha mkoa hela za maendelea na wakaendelea na misimamo ya o mbali ya Uongozi wa chama na serikali kuingilia kati. Ifike mahali tusiiingize siasa kwenye mambo ya msingi,ni matumizi mabaya ya akili
 
Ni

Nimeumia kuona Kuna vitu unaongea hata hujui nini unazungumza .

Anatory Amani ex _meya wa bukoba ni lini amekuwa mmiliki wa shule za kaizirege?

Je bukoba ni mkoa ? Kuna mtu umemtaja Kama mheshimiwa Bashite je kwa mada yako unayohisi Ina mlengo wa kimaendeleo unahisi ni sawa kuweka hisia zako kwa kumuita mheshimiwa Paulo makonda hilo jina ulilolitaja ?

Finally nitajie klabu nzuri kwasasa bukoba niko huku kwasasa nikafurahie leo.
 
Nimesoma na wahaya wengi wanasoma na kukalili tu ila hawaelimiki. Sijajua shida ni nini?
 
Ndani ya article, mwandishi amelitolea maelezo hilo kwamba atatumia majina ya Kagera na Bukoba interchangeably, Anafahamu kabisa kwamba Bukoba ni wilaya, tena ziko mbili, Bukoba mjini na Vijijini. Kuna sababu kuu nje ya upeo wako ambaye hujawai kuishi (Bukoba/Kagera). Ila article kubwa yenye parfagraph zaidi ya 20, wewe umeona hilo tu kama Bukoba ni mkoa
Hakika kwa umaarufu wa Kagera na mandhari nzuri ya Bukoba halikadhalika ziwa pamoja na uelewa/elimu ya watu wake, huo mkoa ulipaswa uwe uko mbali sana kimaendeleo na mfano kwa mikoa mingine.

Kuna msemo,'Akili nyingi huondoa maarifa', ndicho kinachotokea Kagera.

Yote kwa yote, Bukoba nimetokea kupapenda sana na patabaki kuwa sehemu yangu nzuri na tulivu ambayo huwa naenda pale kupumzika.
 
Mwandishi katoa mfano wa Mh Bashite kama kisa mkasa cha kuonyesha jinsi wahaya ni wagumu sana kuwabadilisha tabia zao za Kiburi, majivuno na misimamo sehemu nyingine hisiyo na maana. Kizuri alitaka kuonyesha jinsi gani Mbunge (Kagasheki ) na Meya walivyoshindana mpaka kukosesha mkoa hela za maendelea na wakaendelea na misimamo ya o mbali ya Uongozi wa chama na serikali kuingilia kati. Ifike mahali tusiiingize siasa kwenye mambo ya msingi,ni matumizi mabaya ya akili
Umesema vyema sana mkuu, sasa kulikuwa na haja gani ya kumuuingiza mtu kama Bashite kwenye jambo la msingi kama hilo. Kama unakuja na mada makini achana na kuweka mambo ya kijinga au watu wajinga kama hao maana utafanya mada yako ionekane ni irrelevant. Yaani kitu cha serious unamuhusisha mtu kama Bashite kama mfano wako
 
Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa. Lakini mimi kwa kuwa ni mdau wa mkoa huo, niliona tusijikite kwenye festival tu, tuangalie picha kubwa (big picture of what happened), kwani hali ni mbaya sana sasa, yaani ni mbaya sasa, tena sana kwa wenzetu nshomile hawa wa Bukoba.

Kwanza,ni kweli hakuna haja ya kuweka Bahaya Festival Dar es salaam, ili iweje? (maswali ya "the so what" ni muhimu kuulizana) labda kama ni show off tu ambayo ndio msingi (sababu) za Wahaya wengi kufanya mambo fulani wanayoyaita big things; wahaya wengi mtanisamehe wanatanguliza show off badala ya chochote (najua watapinga ila ndio ukweli.kabombone!kamboleke!), Pili ni kweli Bukoba inatia haibu sana kuanzia kwenye Miundo mbinu hiyo , Soko , Stendi hata elimu;na ni kweli husiopingika, hali inatisha.

Kibaya zaidi hawa watu walipewa fedha za kurekebisha mambo makubwa haya muhimu, kwanza walipewa fedha za miundo mbinu hasa barabara , fedha zile za world bank, Kagasheki wakati huo Mbunge tena a very exposed person, suprisingly na Meya yule Mhaya wa shule zake za Kaizirage wakaishia kurumbana na kuswair each other kwamba ni bora fedha zirudi ila zisimpe crediti mmoja wapo;can you imagine- Pathetic; Leo nenda Mbeya, nenda Morogoro, nenda Mtwara, nenda Mikoa ya kusini mikoa iliyotumia hizo fedha vizuri, ni kama ulaya, unaweza kutoa machozi ni nani kawaroga nshomile wa Bukoba?

Sikushangaa kabisa kilichotokea,mnakumbuka mpaka Mh makonda na katibu wa Chama tawala walitembelea BKB lakini hakuna kilichotokea. Unajua nini maana yake nikitafsiri ki-tabia za kihaya; kwanza hiyo ni tabia mojawapo ya Wahaya;"Tindamba embwa maguru",kwamba niko tayari kuishi maisha ya shida, dhiki ,hata kuhatarisha maisha ya familia, mke watoto na ndugu lakini sio kumyenyekea mtu (wanasahahu ukila na kipofu husimshike mkono, pia watu wote waliofanikiwa, walishikwa mkono wakati fulani na mtu au watu au institution)

Pia wahaya hata kwenye upande wa Battle (urguments, mabishano, upinzani) the same, Mhaya yuko tayari kuloose chochote alichonacho, yuko tayari watu wote , ndugu, jamaa na marafiki wahangamie ili mradi aweze kushinda battle dhidi ya mwenzake , ndivyo ilivyokuwa kwa Kagasheki na Meya wake. walishikilia misimamo yao na walikuwa radhi fedha zirudi workd bank, mkoa ubaki bila barabara ,bila soko lakini mmojawapo hasishinde hiyo Battle;hivi leo hii wakitembeakwenye barabara za mashimo, soko chafu, baya wala halistahili kuitwa soko la Bukoba wanajisikiaje , nafsi zao zinawaambia nini.Ila kwa Wahaya wasivyokubali kushindwa utakuta mpaka leo wanaona walikuwa sahihi, na wapambe wanawakubali.

Kibaya zaidi kwenye uponde wa suluhisho, Mhaya akishasema no, yaani hata umpeleke kwa mpiga tumbi, hata umuwekee risasi , itabakia no! anaweza kunyamaza au kukubali ili lipite lakini hatatenda. Ndivyo walivyokuwa groomed, na siyo kwa sababu ya ushupavu, la hasha, huo msimamo ni ubishi wa nature, kutotaka kushindwa na ndio nature yao.

Ebu fikilia, ulishawahi kubishana na Mhaya wewe? je ilikuwaje kwenye ubishi huo, ila ninawapa credit moja, Wahaya wengi huwaga ni watu wa data, wako well informed. wengi wanaurgue kwa kussuport na data na evidence, they know their line of argument, contents, phrases, na flow hata kama iko negative au positive dhidi ya ukweli halisi.Kwa hiyo nilivyoona Makonda na Katibu wake wakienda kusuruhisha nilijua hakuna kitu kitabadilika.

Turudi kwenye mada, Wahaya walipewa fursa nyingine ya kujenga soko la Bukoba, walipewa fursa za kujenga chuo kikuu kupitia kwa Makanisa yao ya miaka mingi; SAUTI-Branch-RC na University of Kagera-KKT, lakini kwa ujuaji na unshomile, mipango mizuri hiyo, fursa kubwa hizo zimeishia hewani, SAUTI -Branch kama sio imefungwa basi inachechemea na hakuna cha University of Kagera au cha KKT.

Yaani kwa sasa Bukoba imebakia kama gofu. Kwa faida ya vijana wa 2000, Gen-Z-kama hamjui katika miaka ya themanini na tisini, Mkoa wa Bukoba /Kagera (the great and used to be the prominent Kagera region) nimetumia majina mawili ya mkoa "interchangeably" kama wahaya wanavyosemaga. Kagera ndio uliokuwa mkoa kati ya mikoa mitatu iliyokuwa ikiongoza Tanzania kwa kufaulisha O-Level na A-level na Wahaya walikuwa ndio sio tu kwenye vyuo vikuu bali wakiongoza vyuo vikuu kujaza vichwa (vipanga)katika vyuo vikuu chuo vya UDSM, MUCHS na Ardhi University (kwani ndivyo vilikuwa vyuo vikuu peke yake Tanzania).

Kwa hakika ,Wahaya ndio waliongoza kati ya wasomi wazuri kwenye sector zote za uchumi ,ukitaja ma-professor wazuri-wahaya wapo, ukitaja ma-engeneers wazuri-wahaya wapo, tena ukitaja ma-archtecture wazuri-wahaya hawakosi, na ukitaja wanasheria wazuri; (by the way Wahaya ni wabishi by nature na hii inborn traits iliwasaidia kwenye sheria) nakwambia utawakuta wamo tena ndio vinara wa sheria. Sasa leo niambie nini kimetokea graph imeshuka kutoka 90% mpaka 2-3% kwenye kila eneo nililotaja juu. Jibu lake hiyo itakuwa ni topic mpya na inahitaji mjadala wake tofauti.

Just kupre-empty mjadala mkubwa wa kwa nini Bukoba imepatwa na majanga haya. Nitataja sababu moja ya kuanzia ingawa kwako waweza kusema ilitakiwa iwe sababu ya mwisho kwa uzito -UTAPIAMLO-MALNUTRITION (both Marasmus, Kwashiorkor na mixed Marsamus-Kwashiorkor.) Recently, baada ya report ya Tanzania Demographic Health Survey iliyonyesha Bukoba inaongoza kati ya mikoa yote kwenye utapiamlo. Kwangu nilikuwa shocked na sikuhamini, ila wazungu walisema data never lie, Hivi ni kweli Bukoba wajameni -ki-elimu tuko mwisho na kiafya tuko mwisho; tunaongoza kwenye utapiamlo, je unategemea nini kama Mkoa unaongoza kwenye the big two negative attribute za umasikini na za kurudisha nyuma maendeleo.

Ebu Turudi nyuma kidogo, mkoa wa Kagera ulikuwa ukiongoza kwenye kuzalisha mazao mengi ya chakula na biashara; ndizi, viazi, matunda, Maharagwe, Mihogo ya aina mbalimbali, Njugu, Mboga za majani, Mahindi, Mchele n.k. Hakika Kagera walikuwa wanazalisha maziwa ya kutosha na nyama fresh Za ngombe mpaka kufikia kuuza nje ya mkoa na kusafirisha nje ya nchi. Hapo siongele protein rich foods kama mboga kama samaki. n.k haikuwa shida, nakuambia kila kijiji asubuhi ulikuwa ukisikia king'ora cha kibuyu kuashiria dagaa na samaki cheza kwa bei rahisi, ninasema kila kijiji, jamaa wanapita nyumba kwa nyumba kama sensa.

Hakika sikuwahi kusikia utapiamlo au kuona watoto wenye utapiamlo kwa miaka 15 yote niliyokaa mkoa huo. Ni nini kimetokea Yarabi, nitaongelea detail root cause ya kile kilichotokea kwenye andiko langu lijalo.

Kuhitimisha, ili ni fumbo, hili ni swali gumu na lazima tulipatie majibu, nini kimetokea kwenye mkoa wetu pendwa mpaka mkoa unakuwa nyuma kielimu, unakuwa nyuma kiafya, unakuwa nyuma kwenye sekta zote za kimaendeleo?. Ni hatari sana, kiufupi tu, nitadadavua baadhi ya visababishi kwenye andiko langu lijalo. Bila ubishi: 1) uvivu wa kutisha, 2) uchawi (kulaguza), 3) vijana kuamini kwenye quick gain e.g bodaboda, biashara za ndizi na pombe 4) Roho mbaya za kutisha, 5) Unafiki na 7) familia nyingi kutothamini elimu ni baadhi tu ya visababishi vilivyofanya the one used to be the "Shinny, appealing and well smelling Bukoba region to turn into the Dark, oval and foul smelling Bukoba region.

Wahaya (nshomile) naomba mnisamehe kama baadhi ya phrases zimewakwaza ni muono wangu tu (personal perspective) , najua hampendi kuambiwa ukweli, ila mkae mkijua ukweli tu ndio utawaweka huru.
Kina DR HAYA LAND wapo humu tu kupiga porojo na kina Istanbul
 
Kabla sijamaliza kusoma huu uzi wako wewe ni muhaya pure usijifanye eti mdau......kataa kwa facts.
 
Huwa nachukia kuargue na watu wenye mentality za ukabila na ukifuatilia watu wengi km ww hamfanikiwi kwa sababu ya ufahamu wenu mdogo haya niambie hizo sababu ulizosema sehemu nyingine hazipo? Nenda kaishi Mara, Kilimanjaro , Kigoma infact sehemu yoyote ambayo imetawaliwa na wenyeji asilimia kubwa utanambia. Lakini pia huu uzi wako una mchango gani kwenye maendeleo jiulize km umejenga au umebomoa!?
 
Back
Top Bottom