Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Ni kitamu kweli, mimi naitaga kibumbu.Aliyegundua hiko ni chakula alikuwa ana njaa kinyama
Binafsi ndio naona leo hilo gogo
Akina Mwaisa wanaita KituguWaswahili wanaitwa KIAZI KIKUU hicho.
Wachaga wanaita KIKUU.
Wamwera akina K.Majaliwa wanaita MAPETA.
Aliyegundua hiko ni chakula alikuwa ana njaa kinyama
Binafsi ndio naona leo hilo gogo
Hiki kikiisha nakutafuta mkuu.Ninavyo hapo jirani tu na Dar.
Nipe oda nikuletee.
West Africa hasa Cameroon, Nigeria na Senegal hivyo ndiyo wanakaanga chips (french fries) siyo kama hapo TZ mnakaanga viazi mbatata.
Si kiazi kitamu, kinaitwa kiazi kikuu.Kiazi kitamu, kuna wengine wanaita makaba
Kumbe ni tofauti na kiazi kitamu? Sikujua kabisa nilidhani ni sawaSi kiazi kitamu, kinaitwa kiazi kikuu.
Ni kitamu kweli, mimi naitaga kibumbu.
Lushoto.. Missed it😋Juzi kati nilikuwa nyumbani Missenyi, Kagera nikaenda shambani na kuibuka na hiki kiazi. Kwa Dar sijawahi bahatika kuviona, ila kwetu vipo sana na vilikuwa chakula changu pendwa. Ilibidi nikisafirishe sasa hivi najimegemea kipande kidogo kidogo nakula kwa samaki kibambala.
Kwa nyumbani tunaika e'kira.
View attachment 3482032
View attachment 3482031
Homeboy msimu mzuri wa kula hiki kiazi ni kuanzia mwezi July kwenye kiangazi hadi kabla ya kupanda mazao shambani. Vinastawi kwenye udongo wa kichanga kiasi, na mbolea ya mboji.Juzi kati nilikuwa nyumbani Missenyi, Kagera nikaenda shambani na kuibuka na hiki kiazi. Kwa Dar sijawahi bahatika kuviona, ila kwetu vipo sana na vilikuwa chakula changu pendwa. Ilibidi nikisafirishe sasa hivi najimegemea kipande kidogo kidogo nakula kwa samaki kibambala.
Kwa nyumbani tunaika e'kira.
View attachment 3482032
View attachment 3482031
Homeboy msimu mzuri wa kula hiki kiazi ni kuanzia mwezi July kwenye kiangazi hadi kabla ya kupanda mazao shambani. Vinastawi kwenye udongo wa kichanga kiasi, na mbolea ya mboji.
Kwa Joanah anayehisi ni chakula cha kibahatisha, nakuhakikishia sio chakula cha kivivu kinahitaji ukifanyie kazi na kusubiri msimu mmoja kwa mwaka. Sio magimbi haya.
Harufu yake kwa mbali ni kama maziwa fresh na maji ya mchele mzuri, ladha ni kama neutral. Inategemea na ukomavu na msimu wa kuvuna kama ni jua Kali au mvua au wakati kina majani yamekauka au yananza kuchipua mapya.
Siyo kiazi kitamu bali Kiazi kikuu.Kiazi kitamu, kuna wengine wanaita makaba