Usemalo ni kweli.Nimekaa bukoba,japo kwa miezi kadhaa,sijaona hata chembe ya hizo dharau.Sana sana niliwaona watu wakarimu sana,wenye staha na makini kwa binadamu wengne.Tofauti kabisa na jinsi nilivyoaminishwa kwa mda mrefu ama kupata hisia hizo wakiwa miji mingine.
Niliona Bukoba pana mzunguko mzuri wa pesa na watu ni wa kujichangaya sana na wengine bila kadhia zinazofikiriwa,hata kidogo.
Babati si pa baya,ni njia kuu,hali ya hewa nzuri ila kwa mtazamo wangu,kibiashara hapafikii Bukoba.Japo kwa hakika itategemea
1.Biashara gani utafanya-kila sehemu ina fursa tofauti
2.Upeo wa mhusika kuifanya hiyo biashara kisawasawa kulingana na mazingira
3.Uwezo wa mhusika kujichanganya na wenyeji na ukakubalika...biashara yataka na kujuana
pia.