Mkoa upi unafaa kuanzisha maisha na biashara ndogo ndogo?

asant nmeelewa Bukoba pako poa ntajtahid muda c mref ntakuw Bukoba
 
Mkoa uliopakana na nchi nne kama kagera utakosaje muingiliano na watu?

Ndo maana hata matishio ya ebola kagera ndo uwa wa Kwanza na taadhari huwezi sikia sijui manyara.

Pia ndo mkoa wenye waamiaji wengi sana
Sizungumzii mikoa ya Kagera au Manyara nazungumzia miji ya Bukoba na Babati,,Babati ni makutano ya barabara kuu 3 tofauti na Bukoba yenye barabara moja ya kuingia na kutoka
 
Sizungumzii mikoa ya Kagera au Manyara nazungumzia miji ya Bukoba na Babati,,Babati ni makutano ya barabara kuu 3 tofauti na Bukoba yenye barabara moja ya kuingia na kutoka
Usiangalie Barabara Tu angalia na ziwa pia.

Ukivuka ziwa unaweza fika Kenya na Uganda.

Na barabara za Bukoba kuna ya kwenda Kampala,Kigali na Bujumbura ambapo ni karibu chini ya km 300.

Sasa wew unalinganisha mipaka ya nchi ni makutano ya Barabara za mikoa?
 
Biashara nyingi za mtu wa kawaida ni za mkoa kwa mkoa siyo nchi kwa nchi halafu unapoongelea usafiri wa ziwa kuna meli gani inayotoka Uganda au Kenya kuja Bukoba labda,unayoongelea hapa hayana uhalisia,,mji wa Bukoba ni kati ya miji inayokuwa taratibu sana kutokana na kutokuwa na mwiingiliano mkubwa wa watu,
 
MV nyalyigamba na MV umoja zinakuja Sana bandari ya Bukoba.

Na soon MV Victoria,na MV bluebird zinarudi tena

Huko Meli mpya kubwa ikitegemea mwakani.

Kama hakuna muingiliano wa watu basi kagera isingeongoza tz nzima kwa wingi wa wahamiaji.
 
Mimi nazungumzia Bukoba mjini siyo Kagera yote,ni hakika Kagera ina wahamiaji wengi mno ukifika Bushangalo Omurushaka mpaka Kaisho Wanyarwanda ni wengi tuu,Murongo ,Bisheshe mpaka Chigologolo Waganda wengi tuu Ngara Warundi kibao ingekuwa kwa suala la wahamiaji tuu Bukoba ungekua kati ya miji inayokuwa kwa kasi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…