MKOA VS DAR

MKOA VS DAR

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Habari za mihangaiko wakuu

Kwanza kabisa niwape pole wanawake wa dar kwasababu kila uchwao hali si hali kunako 6×6.
Nimeamua nitumie haka ka muda kadogo niliko nako kuwapa pole sana kina dada wote wa dar kwasababu ya kile kinachoitwa "WANAUME WA DAR",

KABLA YA KUENDELEA HEBU TUANGALIE SIFA ZINAZOFANYA MPAKA UITWE "MWANAUME WA DAR"

1.KULA SEMBE BADALA YA DONA.

2.KULA CHIPS BADALA YA KANDE.

3.KUNG'ANG'ANIA SITI KWENYE
DALADALA UKAE HALAFU MWANAMKE ASIMAME.

4.KUPIGA SELFIE BADALA YA KUPIGA KAZI

5.KUPIGA KAMOKO USIKU KUCHA NA KULALA HOI UTADHANI MLALA HOI

6.KUPOTEZA MUDA MWINGI KWENYE KIOO

7.KULA KUKU WA BLOILA BADALA YA KULA KONGORO

8.KUVAA NGUO ZIMEBANA MPAKA MAPAJA

YES hizo ni sifa baadhi ya wanaume wa dar na kama wewe pia unazifahamu waweza ongeza za kwako ili twende sawia.
Kitu kibaya zaidi mpaka wanaume wengine wa mikoani tulio amini wangeenda dar na kufuta hiyo aibu ya kuitwa "WANAUME WA DAR" nao wame-adapti hali hiyo hiyo,KUNA KILA SABABU WANAUME WA MIKOANI KUAMIA DAR KWA WINGI ILI KUJA KUFUTA HII AIBU NA KASHFA DHIDI YA WANAUME.

Anyway-:MAPOVU RUKSA KWA MAANA YANAHITAJIKA SANA YAKADEKIE CHOO CHA UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA


malkia_wa_vichambo-1539588514773.jpeg
View attachment peterzeprezident__video_1539588719300.mp4
 
dah,, hiyo picha, eeh,, mwenyezi Mungu tusaidie wanaume wa mikoani tukija Dar tuweze kuwatofautisha,, maana wenyewe wanajuana ila sisi itakuwa vigumu kuwatofautisha na dada zao amen,, mwisho wa ibada,,ngoja niende shamba kusaka nauli naja Dar
 
Back
Top Bottom