Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kituo kipi wewe nyumbu?Upo mvunguni.Ulitakiwa uwe front kwenye maandamano.Hakuna watu bwana acheni uongo,mm nipo hapa nasimamia kituo hakuna watu tupo tu tunakula upepo
Nyumbu ww usije jielewa.Kituo kipi wewe nyumbu?Upo mvunguni.Ulitakiwa uwe front kwenye maandamano.
Nimekuona mkuu mnaotea tu kajua hapoHakuna watu bwana acheni uongo,mm nipo hapa nasimamia kituo hakuna watu tupo tu tunakula upepo