luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Umewahi kufika Ngara,bmulo n'a kyerwa?Bahati nzuri hiyo mikoa nimefika yote ninachoongea nina uhakika nacho, siitetei Kagera maana sina vinasaba nao lakini huwezi kulinganisha na hiyo mikoa
Hivi watu humu hamchoki na threads za wahaya?. Wapumzisheni.Mkoa wa kwanza kwa ufukara ni Simiyu. Mkoa unaofuata ni Kagera (Mkoa uliotoa Maprofesa wengi nchini). Yani Simiyu tu ndio imeizidi Kagera kwa viwango vya umaskini. Ina maana hakuna uhusiano wowote kati ya SHULE na MAOKOTO?
Inakuaje Wahaya wamesoma sana halafu wanaburuza mkia kwenye kusaka noti? Ina maana kwenye zile Debate za sekondari Wahaya walichagua ule upande wa EDUCATION is bettet than MONEY? Wakora waitu.
Mkuu nilipitaUmewahi kufika Ngara,bmulo n'a kyerwa?
Sawa mkuuNjombe sio maskini wewe na population ya Njombe ni laki 8 tu kuna mazao.mengi sana ya misitu kama mbao na magogo. Kuna mazao ya lilimo pia madini ya mkaa wa mawe na chuma.. Njombe hakuna nyumba ya udongo