Mkoa wa Kagera umebarikiwa kuwa na vyanzo vingi vya maji

Kaja lile si ni tingatinga. Hivi kule hawawezi kulima mpunga maana maji ya kutosha na rutuba nyingi ila kuna tope sana. Wakiletwa wawekezaji lile tingatinga sijawahi ona mwisho wake nahisi linaweza toa mpunga tani laki kadhaa kwa mwaka
Ile tinga tinga sijui inaishiaga wap.

Baada ya kutoka bukoba Kama unaelekea kyaka Kuna maziwa sijui mabwawa yanaonekana yanaunganika na hizo tingatinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…