nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Huu mkoa umechoka sana, ila ukipata stori za wenyeji ni kwamba kuna wazee wana hela sana na wana mifugo mingi.
Ila katika kutembea Kagera ni mkoa ambao bado umejaa watu maskini, utasikia fulani yuko Minnesota, mara Texas ila ukweli unabaki palepale Kagera ni mkoa maskini.
Usije ukawekeza, kuna ukabaila wa hali ya juu.