Mkoa wa Kagera umechoka sana

nyboma

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2,308
Reaction score
7,366
Huu mkoa umechoka sana, ila ukipata stori za wenyeji ni kwamba kuna wazee wana hela sana na wana mifugo mingi.

Ila katika kutembea Kagera ni mkoa ambao bado umejaa watu maskini, utasikia fulani yuko Minnesota, mara Texas ila ukweli unabaki palepale Kagera ni mkoa maskini.

Usije ukawekeza, kuna ukabaila wa hali ya juu.
 
Niliwahi kufika bukoba manispaa miaka ya nyuma unaweza Dhani ni tarafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…