Sawa na ni jambo jema kabisa, ila isiwe kwa hii snail's pace.Jibu zuri. Sasa tunarekebisha mama kaanza kukusanya kodi record zitaendelea kuvunjwa.
hongereni ingawa kiuhalisia hiyo kodi kwa kariakoo ni ndogo angalau ilipaswa ifike 100 billion.Kariakoo imeanza kurudi Kwenye ubora wake wa kuwa Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara..
Wenzao ni akina nani wanaotos Kodi ya bilioni 40 kwa mwezi?Mwaka una miezi 12.
Makusanyo hayo ya mwaka wenzao wanakusanya kwa mwezi mmoja au mmoja na nusu.
Kwa potential iliyopo hapo 40 kwa mwaka ni utani wa Kizaramo/Kigogo dhidi ya Kisukuma au Kichaga dhidi ya Kipare.
#7Wenzao ni akina nani wanaotos Kodi ya bilioni 40 kwa mwezi?