Mkoa wa Kikodi Wa Kariakoo Waweka Rekodi Kwa Kukusanya Kodi Shilingi Bilioni 40.8.

Mkoa wa Kikodi Wa Kariakoo Waweka Rekodi Kwa Kukusanya Kodi Shilingi Bilioni 40.8.

Kariakoo imeanza kurudi Kwenye ubora wake wa kuwa Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara..

hongereni ingawa kiuhalisia hiyo kodi kwa kariakoo ni ndogo angalau ilipaswa ifike 100 billion.
serikali ichukue maoni ya wadau mbalimbali iboreshe kariakoo iwe kivutio na kusiwe sehemu holela ya kufanya biashara kunasababisha loopholes zisizo za lazima...

mfano hakuna ulazima wa wafanyakazi wa tra kuwafuata wafanya biashara kwenye maduka kuwe na mfumo maalum wa kariakoo tu automatic mtu anamaliza kilka kitu online.
 
Juzi kati nilienda kulala hotel moja hapo katikati ya mji.. nikatoka nje kununua lotion ya 5k dukani kwa Mama mmoja wa kichaga nilipewa risiti.
 
Mwaka una miezi 12.
Makusanyo hayo ya mwaka wenzao wanakusanya kwa mwezi mmoja au mmoja na nusu.
Kwa potential iliyopo hapo 40 kwa mwaka ni utani wa Kizaramo/Kigogo dhidi ya Kisukuma au Kichaga dhidi ya Kipare.
Wenzao ni akina nani wanaotos Kodi ya bilioni 40 kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom