Bulichekah
Member
- Jan 12, 2014
- 68
- 186
Ungeandika tu taratibu dada usiwe na haraka. VIRIBATUMBI ni vitu gani sasaMkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna amesema
#MwananchiUpdates
Unatokea moshi ipi mkuuUngeandika tu taratibu dada usiwe na haraka. VIRIBATUMBI ni vitu gani sasa
HahahaLazima waongoze tu.maana wanawake wa Kilimanjaro wanavifua vikubwa na miguu ya spoke kama harmonize
Halafu hawana booty 😅😅Lazima waongoze tu.maana wanawake wa Kilimanjaro wanavifua vikubwa na miguu ya spoke kama harmonize
Kitu sura babu wee hiyo ninonino hata mbuz analoHalafu hawana booty [emoji28][emoji28]
pombe na kitimoto hizo wanakula sanaaMkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna amesema
#MwananchiUpdates
Lazima waongoze tu.maana wanawake wa Kilimanjaro wanavifua vikubwa na miguu ya spoke kama harmonize
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pombe na kitimoto hizo wanakula sanaa