MKOA WA KILIMANJARO UNAONGOZA KWA WANAWAKE WANENE NA WENYE VIRIBATUMBI

Bulichekah

Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
68
Reaction score
186
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna amesema

#MwananchiUpdates
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna amesema
#MwananchiUpdates
Ungeandika tu taratibu dada usiwe na haraka. VIRIBATUMBI ni vitu gani sasa
 
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna amesema

#MwananchiUpdates
pombe na kitimoto hizo wanakula sanaa
 
Back
Top Bottom