Acha ukonomi(Ubahili) 😁 nenda Masasi Town kale pesa hapo Lindi hamna vibeHuku labda uwe unakula mihogo tu.
Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani?
Hafu sehemu local tu wala sio ushuani. View attachment 3579814
Hii sumu 1,200/=
Hapo Shoppers 850/=
Huku ila mafuta bei ile ile kama mjini.
View attachment 3579815
Hii ni lodge gani.. Au ni Ile hotel ya Ufukweni..?View attachment 3579891
Sure. 50k hii ingekua Dar Laki.
Chuo kilikuwepo Toka Hospital Iko paleHospital ya Sokoine imehamishiwa Mitwero, na Ile sehem Kwa Sasa ni chuo Cha afya(COTC)
Bado kidooogo muda sio mrefu lounge, pub zitakua za kumwaga mashekhe watabomoa misikiti hapa msikiti pale lounge pale kuna lodge kuna mtaa fulani kutakua na guest na lodge nyingi sanaLindi ni mji ambao bado haujaharibiwa na vurugu za wanadamu.
Mkuu ushahama ule Uzi wa Mshahara wa January 😁mambo ya ******* sana haya.
Masasi, Liwale na Nachingwea unaweza kununua vitu bei chini zaidi kuliko Lindi mjini huku Lindi mjini ni Karibu sana na Dar es salaam panapotoka bidhaa . Vitu vinapita hapo na kwenda kuuzwa cheap miji ya mbele
Kweli aseeHatari huko ,ukienda na mentality za Dar kwenye misosi unaweza ukajaziwa sinia zima ukashindwa kumaliza.
Sema Lindi bana nilikuwa nikifika tuu.Bado kidooogo muda sio mrefu lounge, pub zitakua za kumwaga mashekhe watabomoa misikiti hapa msikiti pale lounge pale kuna lodge kuna mtaa fulani kutakua na guest na lodge nyingi sana
Anakupakulia tu unavyotaka au sio?Sema Lindi bana nilikuwa nikifika tuu.
Nalenga kwa mama yoyoo flani.
Ilikuwa burdaaaaan sana.
Ebhana eeeeh ni hatari tupuAnakupakulia tu unavyotaka au sio?
Daaah mshahara wenyewe sijui una MAPEPO.Mkuu ushahama ule Uzi wa Mshahara wa January 😁
DaahLINDI yote haifai kwa kuishi
Ningekuwa Rais mkoa wa lindi maeneo yote ingekuwa ni sehemu ya uwekezaji tu mfano viwanda, mashamba, misitu, nk
Idadi ya watu sio ndogo, watu wa Lindi ni wavivu au hawapendi tu kazi ngumu za kulima na kufuga.Kumechoka Sana maendeleo hakuna, na idadi ya watu ni ndogo
Morogoro ni kubwa kuliko Lindi,Sijui kwanini hawatakagi kuumega huo mkoa kusogeza maendeleo.
Kwanini wasimege kidogo Morogoro, Pwani, Mtwara na Ruvuma papatikane mkoa kuharakisha maendeleo.
Lindi ki jiografia ni kubwa sana kuliko Mtwara, Pwani, Ruvuma a Morogoro.
Morogoro ni kubwa kuliko Lindi,
Serikali za Mkoa na Wilaya wala haziharikishi maendeleo. Mkoa kuwa mdogo au mkubwa hakuna athari yoyote kwenye maendeleo yake.
Mkuu wa mkoa(RC) na Wilaya(DC) hakuna chochote kikubwa wanachofanya katika kuletea watu maendeleo, hao ni wanasiasa tu na wapiga debe wa kulinda maslahi ya rais. Wenye mchango katika kuleta maendeleo ya watu na kushugulikia mambo muhimu ya raia ni Halmashauri na Wizara.Ni kweli Morogoro kubwa kuliko Lindi, kwa KM² chache sana.
Kuhusu maendeleo, jiografia inaathiri huduma za maendeleo kwa wananchi. Katavi ilipomegwa kutoka Rukwa, Sasa hivi Katavi inakimbia. Ndicho kinachotaka kufanyika Geita na Kagera na Kigoma kumegwa kuwa mkoa wa Chato. Maendeleo ni Mipango bwashee
Hawa wanenda kula Lake view alafu wanasema Lindi maisha magumuWewe unaishi huko ndiomaana unaona bei kubwa, sisi wapita njia tukilinganisha na maeneo mengine ambayo yanatoa samaki LINDI NI NAFUU MNO.
Mkuu wa mkoa(RC) na Wilaya(DC) hakuna chochote kikubwa wanachofanya katika kuletea watu maendeleo, hao ni wanasiasa tu wa kulinda maslahi ya rais, wenye mchango katika kuleta maendeleo ya watu na kushugulikia mambo muhimu ya raia ni Halmashauri na Wizara.
Kumega mkoa hakusaidii chochote, kunaongeza tu ulaji kwa wachache na gharama kwa walipa kodi wengi. Maendeleo ya Katavi ya kawaida sana kama sehemu nyingine zozote zile Tanzania, hakuna kukimbia wala nini, nafikiri tuna standards ndogo sana za maendeleo.Ni kweli Morogoro kubwa kuliko Lindi, kwa KM² chache sana.
Kuhusu maendeleo, jiografia inaathiri huduma za maendeleo kwa wananchi. Katavi ilipomegwa kutoka Rukwa, Sasa hivi Katavi inakimbia. Ndicho kinachotaka kufanyika Geita na Kagera na Kigoma kumegwa kuwa mkoa wa Chato. Maendeleo ni Mipango bwashee
Ni huduma gani raia wa kawaida wanapata katika Ofisi za mkuu wa mkoa au wilaya?Mimi sijawazungumzia hao, nimezungumzia kurahisisha huduma na mipango ya maendeleo. Hao sio wanaoleta maendeleo. Kama unakubali halmashauri na wizara ndio husimamia maendeleo basi, mjadala huu umeisha. 😁