Mkoa wa Lindi maisha gharama sana


Sawa mkuu. Nimeelewa ufafanuzi wako.
 
Wewe unaishi huko ndiomaana unaona bei kubwa, sisi wapita njia tukilinganisha na maeneo mengine ambayo yanatoa samaki LINDI NI NAFUU MNO.
Okay mpita njia ebu linganisha bei za Samaki za Mtera, Igunga, Babati, Bagamoyo, Msata, nyumba ya Mungu, Bugolora, Nkome, Geita, Chato, Biharamuro, Tabora, Mbagala na za Lindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…