SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 225
- 239
PoleKwema wadau? Nitakuwa Lindi for two weeks. Naomba taarifa juu ya hali ya hewa maeneo hayo, je ni joto sana au joto kawaida? Na kwa upande wa umeme nasikia hii ni changamoto kubwa, je hilo tatizo limeshatatuliwa?
Lakini nimepata taarifa kwamba umeme mkoa huo ni tatizo zaidiAcha uoga mkuu, Lindi ni pwani na hali za hewa za Pwani zinafanana. Ukiongelea tatizo la umeme nadhani ni Tanzania nzima mkuu
Alooo tell me more mkuuWanawake wa Lindi wanakata sana viuno... Muulize mkulu aliyemaliza muda wake
1:wanawake wa Lindi wanaishi kama waarab pale huduma zote za mitandao zinapatikanaAlooo tell me more mkuu
Aisee..... Thanks kwa info mkuu1:wanawake wa Lindi wanaishi kama waarab pale huduma zote za mitandao zinapatikana
2;Ni mji wa kifukara sana ukizungukwa na magofu ya waarab
3; pana ubaguzi sana kuna Lind A& B. Wewe ndo utakua b ukifika apo.
3;ukitaka starehe nenda bwalo LA magereza na maeneo ya pwan pwan kuna vibaa uchwara.
4;usichukue mke wa MTU kwani wengi wametegwa dawa inaitwa KALUMBA
5;Nyumban kwa mama ake ridhwan jk
6;hotel nzuri ni KIDIA iko pwani na Himo hotel ya msomali wanapika balaa
7;waheshimu watu huko ucje rudi na busha
Mkuu nimecheka sana hiyo namba 3. .1:wanawake wa Lindi wanaishi kama waarab pale huduma zote za mitandao zinapatikana
2;Ni mji wa kifukara sana ukizungukwa na magofu ya waarab
3; pana ubaguzi sana kuna Lind A& B. Wewe ndo utakua b ukifika apo.
3;ukitaka starehe nenda bwalo LA magereza na maeneo ya pwan pwan kuna vibaa uchwara.
4;usichukue mke wa MTU kwani wengi wametegwa dawa inaitwa KALUMBA
5;Nyumban kwa mama ake ridhwan jk
6;hotel nzuri ni KIDIA iko pwani na Himo hotel ya msomali wanapika balaa
7;waheshimu watu huko ucje rudi na busha
Lindi A na B zina maana gani?Mkuu nimecheka sana hiyo namba 3. .
primary nilisoma lindi shule moja inaitwa Msinjahili nilihamia darasa la 6 hivi.
hiyo kauli lindi A inatumika sana kuanzia watoto hadi wazee wenyewe.
Mkibishana kidogo utasikia mimi lindi A wewe[emoji2] [emoji2].
Ukiwa mgeni unaitwa wakuja a.k.a Lindi B afu wenywe wazawa ndo lindi A. .Lindi A na B zina maana gani?
Yaan hapafai kbx na kiwango cha kuish kwa MTU wa kawaida ni chin ya one dollar. Wengi ni watu toka lutamba,ng'apa na kungineko.na matajir wao akina buti LA zungu na marehem bahat mby.Mkuu nimecheka sana hiyo namba 3. .
primary nilisoma lindi shule moja inaitwa Msinjahili nilihamia darasa la 6 hivi.
hiyo kauli lindi A inatumika sana kuanzia watoto hadi wazee wenyewe.
Mkibishana kidogo utasikia mimi lindi A wewe[emoji2] [emoji2].
Nimekuelewa.....thanks so muchUkiwa mgeni unaitwa wakuja a.k.a Lindi B afu wenywe wazawa ndo lindi A. .