Mkoa wa Lindi

Mkoa wa Lindi

SamuraiJack

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
225
Reaction score
239
Kwema wadau? Nitakuwa Lindi for two weeks. Naomba taarifa juu ya hali ya hewa maeneo hayo, je ni joto sana au joto kawaida? Na kwa upande wa umeme nasikia hii ni changamoto kubwa, je hilo tatizo limeshatatuliwa?
 
Acha uoga mkuu, Lindi ni pwani na hali za hewa za Pwani zinafanana. Ukiongelea tatizo la umeme nadhani ni Tanzania nzima mkuu
 
Pole
Nilioga maji ya chumvi maana watu wengi wanatumia maji ya kisima pale lindi mjini,
Pweza bei rahisi[emoji1] na samaki
Umeme unakatika bila utaratibu,
 
Wanawake wa Lindi wanakata sana viuno... Muulize mkulu aliyemaliza muda wake
 
Acha uoga mkuu, Lindi ni pwani na hali za hewa za Pwani zinafanana. Ukiongelea tatizo la umeme nadhani ni Tanzania nzima mkuu
Lakini nimepata taarifa kwamba umeme mkoa huo ni tatizo zaidi
 
Alooo tell me more mkuu
1:wanawake wa Lindi wanaishi kama waarab pale huduma zote za mitandao zinapatikana
2;Ni mji wa kifukara sana ukizungukwa na magofu ya waarab
3; pana ubaguzi sana kuna Lind A& B. Wewe ndo utakua b ukifika apo.
3;ukitaka starehe nenda bwalo LA magereza na maeneo ya pwan pwan kuna vibaa uchwara.
4;usichukue mke wa MTU kwani wengi wametegwa dawa inaitwa KALUMBA
5;Nyumban kwa mama ake ridhwan jk
6;hotel nzuri ni KIDIA iko pwani na Himo hotel ya msomali wanapika balaa
7;waheshimu watu huko ucje rudi na busha
 
Aisee..... Thanks kwa info mkuu
 
Mkuu nimecheka sana hiyo namba 3. .
primary nilisoma lindi shule moja inaitwa Msinjahili nilihamia darasa la 6 hivi.
hiyo kauli lindi A inatumika sana kuanzia watoto hadi wazee wenyewe.
Mkibishana kidogo utasikia mimi lindi A wewe[emoji2] [emoji2].
 
Lindi A na B zina maana gani?
 
Mkuu nimecheka sana hiyo namba 3. .
primary nilisoma lindi shule moja inaitwa Msinjahili nilihamia darasa la 6 hivi.
hiyo kauli lindi A inatumika sana kuanzia watoto hadi wazee wenyewe.
Mkibishana kidogo utasikia mimi lindi A wewe[emoji2] [emoji2].
Yaan hapafai kbx na kiwango cha kuish kwa MTU wa kawaida ni chin ya one dollar. Wengi ni watu toka lutamba,ng'apa na kungineko.na matajir wao akina buti LA zungu na marehem bahat mby.
 
Back
Top Bottom