Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi Bangi sasa huyu hajui anachosema na jiography ya wilaya za Tarime na Rorya hazijui ndio maana kaandika uharo huuu acha ujinga mrisya.Kuna taarifa ambazo bado ni tetesi kuwa Mkoa wa Mara unategemea kugawanywa na kuwa mikoa miwili, Taarifa zinasema, kutakuwa na Mkoa wa Mara kaskazini na Mara kusini, hali kadhalika, wilaya kadhaa zitaongezeka ili kukidhi mahitaji ya kimkoa.
Taarifa zinadai kuwa, Makao makuu wa Mkoa mpya wa Mara kaskazini yatakuwa UTEGI ambapo kutakuwa na wilaya kama RORYA, SHIRATI, TARIME, SIRALI na Nyamongo, hivo hivo, Mkoa mpya wa Mara kusini utabaki na wilaya zake kama Msoma mjini, Butiama, Serengeti, na wilaya zingine.
Haijafahamika mara moja nia na dhumuni la kuugawa huu mkoa, ila kwa maoni yangu, sioni sababu ya kuugawa huu mkoa.
Ndoto za usikuuu.... Amka upige mswaki kumekuchaaa🙄🙄🙄🙄
Hapo kuna watu wanalipwa fadhiraKwanza population itatosha ?
hivi ili mkoa uwe mkoa wanajua unahitaji population ya watu wangapi?
Wanapanua tu matumizi baada ya kubana matumizi shame on you........
Huku tunakoenda hata makabila makubwa yatakuja kugawanywa nimestuka!
Ingegawanywa MorogoroKuna taarifa ambazo bado ni tetesi kuwa Mkoa wa Mara unategemea kugawanywa na kuwa mikoa miwili, Taarifa zinasema, kutakuwa na Mkoa wa Mara kaskazini na Mara kusini, hali kadhalika, wilaya kadhaa zitaongezeka ili kukidhi mahitaji ya kimkoa.
Taarifa zinadai kuwa, Makao makuu wa Mkoa mpya wa Mara kaskazini yatakuwa UTEGI ambapo kutakuwa na wilaya kama RORYA, SHIRATI, TARIME, SIRALI na Nyamongo, hivo hivo, Mkoa mpya wa Mara kusini utabaki na wilaya zake kama Msoma mjini, Butiama, Serengeti, na wilaya zingine.
Haijafahamika mara moja nia na dhumuni la kuugawa huu mkoa, ila kwa maoni yangu, sioni sababu ya kuugawa huu mkoa.
mkuu siyo taboraIngegawanywa Morogoro
Kugawa mkoa kunaangalia vigezo vingi, kimojawapo ni ukubwa wa eneo husika sambamba na ulahisi wa utolewaji wa huduma za kiutawala.Nchi hii hakuna kinachoshindikana,kwani Mkoa wa Katavi una population ipi ya kuwa mkoa?
Kwanini mkuu?Mkuu, yaan mimi sijapenda kabisa huu mkoa ugawanywe, wauache hivo hivo, mimi ni wa huko, ila hili swala la kuugawa silipendi kabisa,
Nchi hii hakuna kinachoshindikana,kwani Mkoa wa Katavi una population ipi ya kuwa mkoa?
Kugawa mkoa kunaangalia vigezo vingi, kimojawapo ni ukubwa wa eneo husika sambamba na ulahisi wa utolewaji wa huduma za kiutawala.Ugawanywe tuu, ni eneo kubwa sana kijiografia, kama katavi, ambayo ni wilaya ya mpanda tu,si no sawa na Tarime tu kuwa mkoa