Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Habari za mchana wadau?
Nina mpango wa kuhamia kanda ya ziwa,
specifically mkoa wa Mara, Tarime.
Naomba kwa wenyji mnitoe upofu, kuna fursa gani za kibiashara huko?
..............................................
Naombeni miongozo kabla sijafanya maamuzi.
We jamaa ayo sio mijibu,,ka huna cha kuchangia ni bora utulie sio frsh
Ukifanya Sana Biashara Ya Mapanga, Visu, Plasta, Meno Ya Bandia, Bandage, POP, Upinde Na Mishale Utatoka Sana Kimaisha Kwani Vitu Hivyo Vina Demand Kubwa Mno Mkoani Mara.