Mkoa wa Mara: Kuna fursa gani za biashara?

Mkoa wa Mara: Kuna fursa gani za biashara?

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
406
Habari za mchana wadau?
Nina mpango wa kuhamia kanda ya ziwa,
specifically mkoa wa Mara, Tarime.
Naomba kwa wenyji mnitoe upofu, kuna fursa gani za kibiashara huko?
..............................................
Naombeni miongozo kabla sijafanya maamuzi.
 
Ukifanya Sana Biashara Ya Mapanga, Visu, Plasta, Meno Ya Bandia, Bandage, POP, Upinde Na Mishale Utatoka Sana Kimaisha Kwani Vitu Hivyo Vina Demand Kubwa Mno Mkoani Mara.
 
We jamaa ayo sio mijibu,,ka huna cha kuchangia ni bora utulie sio frsh

Nimempa Majibu Ambayo Yana AKISI Uhalisia Wa Huo Mkoa Na Haswa Ukizingatia Huko Ndiko Nyumbani Hivyo Napafahamu KINDAKINDAKI Na Mwambie Ajaribu Hizo Fursa Tajwa Hapo Juu Na Asipotoka Kimaisha Aje ANITAHIRI Tena Kishujaa Kwa Mara Ya Pili.
 
Back
Top Bottom