Uchaguzi 2020 Mkoa wa Mara ndio mkoa wenye wagombea toka upinzani wenye nguvu kubwa majimbo yote

Uchaguzi 2020 Mkoa wa Mara ndio mkoa wenye wagombea toka upinzani wenye nguvu kubwa majimbo yote

Joyce joyce

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
457
Reaction score
1,973
Wakuu Mimi niko mkoa wa Mara huku sirari mpakani na Isibania jirani kabisa na Kenya.

Kwa utafiti Wangu Mkoa huuu wagombea wa CCM kwenye majimbo yote wana kazi ngumu sana kuliko mikoa yote hapa Tanzania katika Uchaguzi wa 28, October.

Ukitizama kila jimbo wagombea wa Chadema wana umaarufu kuliko wagombea wote wa CCM, halafu wagombea wote wa chadema wanajua siasa usisema wanajua kucheza na jukwaaa, wanaongea utadhani walisomea kuongea na ni wazuri hadi huko bungeni.

Na ukisikiliza wananchi kila mtu anamsifia mgombea wa Chadema na wanajiuliza kwanini CCM haijatafuta watu wanaoweza kuongea? Kiukweli wagombea wa Chadema mkoa wa Mara ninawapa salute, na sioni ni namna gani CCM itashinda kwenye majimbo ya mkoa wa Mara.

Watu wachache wanasema kuwa Mwita waitara anakaribia kwa mbaaaali kutoa sauti kwenye jukwaaa ila wanadai tatizo lake anaongea kwa kuwafokea na huwa wanahis kama sio mtu sahihi kuwa mwakilishi wa wananchi hasa kutokana na muonekano wake alivyo ingawa muda mwingi anakuwa hajanywa pombe ila watu huhis kuwa muda wote amelewa, tatizo watu hapa hushinda Kuelewa kuwa ule ni mwonekano tu wa kwake.

Lakini kwa majimbo mengine wagombea wa CCM hawawezi kumiliki jukwaaa na inaonesha kuwa kama Uchaguzi utakuwa wa huru na haki majimbo yote yataenda Chadema.
 
Tarime Mjini Jimbo linarudi CCM. Nafurahi kwa maana sasa Tarime inakwenda kupata maendeleo ya kweli.
 
Siasa siyo mchele au dagaa kiasi kwamba kila mtu anaweza kuchambua.
 
Tarime Mjini Jimbo linarudi CCM. Nafurahi kwa maana Sasa Tarime inakwenda kupata maendeleo ya kweli
Hauijui tarime wewe labda ningekukubalia kama ungesema Jimbo la mwibara au butiama kuwa huenda CCM ikayachukua hayo lakini tarime mjini, Bunda, Serengeti, Musoma mjini na Bunda sahau.
 
Tarime Mjini Jimbo linarudi CCM. Nafurahi kwa maana Sasa Tarime inakwenda kupata maendeleo ya kweli
Tarime mjini utamuondoaje Easter Matiko? Ujue ugumu wa Jimbo la tarime Vijijini hutokana na watu walioko tarime mjini, watu walioko tarime mjini ndio wanaotoa dira Ya wapiga kura wa tarime Vijijini, hivyo ukipata la tarime mjini basi na la Vijijini litaondoka kitu ambacho ni kigumu mno kwa wakurya, hivi umesahau ule Uchaguzi wa marudio wa marehemu chacha wangwe?

Ambao ulimhusisha mkapa, makamba na ndio source Ya kuanzisha kanda maalum unajua Yule cha-cha wangwe alipigiwa kura akiwa gerezani? Unakumbuka kuwa Katibu Mkuu wa Ccm na Mkapa walinyosha mkono Juu wakaaamua kuondoka na kusema basi mtangaze tu huyo, Tarime wakiamua utateseka Sana wanaenda Kwa pamoja na kura zinapigwa Kwa hasira.
 
Tarime mjini utamuondoaje Easter Matiko? Ujue ugumu wa Jimbo la tarime Vijijini hutokana na watu walioko tarime mjini, watu walioko tarime mjini ndio wanaotoa dira Ya wapiga kura wa tarime Vijijini, hivyo ukipata la tarime mjini basi na la Vijijini litaondoka kitu ambacho ni kigumu mno kwa wakurya, hivi umesahau ule Uchaguzi wa marudio wa marehemu chacha wangwe? Ambao ulimhusisha mkapa, makamba na ndio source Ya kuanzisha kanda maalum unajua Yule cha-cha wangwe alipigiwa kura akiwa gerezani? Unakumbuka kuwa Katibu Mkuu wa Ccm na Mkapa walinyosha mkono Juu wakaaamua kuondoka na kusema basi mtangaze tu huyo, Tarime wakiamua utateseka Sana wanaenda Kwa pamoja na kura zinapigwa Kwa hasira
Tarime Mjini tunarudi Nyumbani kuliponoga
 
Sijapata na wala sina hakika jimbo la Musoma vijijini kama upinzani wamesimamisha mgombea, maana kule huwa sisikii mpambano wowote that's why Muhongo atapenya kiulaini sana.

Vinginevyo wananchi wa musoma vijijini wenyewe ni kama watu waliokata tamaa kutokana na wabunge wengi wakichaguliwa wanaondoka jumla mpaka kipindi kama hiki.

Nimewahi kufika Majita, umeme upo na siyo issue ya mbunge na kutoka Musoma mjini mpaka majita ni takribani saa 1:30 lakini unatumia 3-4hrs kutokana na ubovu wa barabara.

So wananchi wa jimbo la hilo hebu badirikeni kumuondoa muhongo hapo.
 
Tarime Mjini Jimbo linarudi CCM. Nafurahi kwa maana Sasa Tarime inakwenda kupata maendeleo ya kweli
Waulize Ukonga alikokimbia huyo Mwita Waitara kama waliona maendeleo yeyote pamoja na yeye kuwa Naibu Waziri!! Huyo ni muhuni tu!!
 
Hauijui tarime wewe labda ningekukubalia Kama ungesema Jimbo la mwibara Au butiama kuwa huenda Ccm ikayachukua hayo Lakini tarime mjini, bunda, Serengeti, musoma mjini na bunda sahau
Usisahau kuleta mrejesho baada ya uchaguzi.
 
Jembe lingine liko Kawe likiongea jukwaani na bungeni utafikri ni mistari iliyonyoshwa kwa rula.
 
Back
Top Bottom