Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

Watoto wanaandaliwa sana aisee, wanafundishwa mpaka usiku, mitihani kila wiki, lazima tuu wafaulu
 
ustake kupambisha mada kisa unatoka mbeya, kwanini isiwe kilimanjaro, mwanza au daressalaam?
Mkuu.....yaan bado hujui kuwa top 10 ya Waliofanya ya waliofanya vizur.,...7 wametoka mbeya
 
Kabisaa mkuu
 
Ndugu zangu naomba kuuliza hili swali maana nimetamani nimhamishe mwanangu shule hapa Dar aende tu Mbeya.

Hivi kwanini watu wa Mbeya wanaakili nyingi mitihani yote wanachukua kumi bora wao.

Inamaana hii mikoa mingine ni mbumbu au kuna nini
Mumeona eeh umuhimu wa kuwekeza elimu, ingekuwa ni nshomile ameleta hii mada, watu wangetukana humu mpaka basi.
 
Mkuu tuhuma ya kununua mitihani ni nzito na kama huna ushahidi Kaa kimya. Pia kumbuka mitihani inayoandaliwa na necta ni miongoni mwa Siri za nchi
Km watumishi wa umma wanaweza kutumiwa kuiba uchanguzi kwann washindwe kuvujisha Pepa. Yote yawezekana
 
Ukichunguza vizuri hao watoto wa hiyo shule utagundua wengi hawatokei Mbeya bali wamefuata shule fulani iliyojengwa Mbeya.

Wanambeya halisi wanasoma shule za day hapo Mbeya, sasa nenda kafuatilie matokeo yao halafu uje utupe mrejesho hapa.
But hata hivyo wasomi wengi sana ni mbeya na bukoba fanya tafiti zako coz hata mahofisini wamejaa hao
 
Kabisa mkuu......alafu wajinga wachache wanasema et one zinatengenezwa
 
Hiyo unajua kwann unavyo mpeleka mtoto pale St Francis unaweza kuta watoto wapo 2000 wanafanyiwa interview ......lkn nafasi ni 150

Jibu ni ubora .....coz unaweza kuwa kipanga Sana .....but shule uliyoenda ikakuharibu
 
Kabisa mkuu......pia shule za serikali zinaangushwa na masomo ya sayansi
 
... "mtoto hata kama hana uniform asizuiwe kuandikishwa shule, aende hivyo hivyo na nguo za nyumbani"; Ummy Mwalmu, former TAMISEMI Minister.
Kichekesho. . . Alafu tushindane na private
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…