Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa mkuuWakatoliki wamewekeza sana kwenye elimu!! Shule zao ziko fit sana top ten nimeona Maua seminary na hiyo st.fransis na nyingine kama tatu,,,lkn hata wanafunzi waliofanya vzr kwenye shule zingine ambazo si za kikatoliki ni watoto wa kikatoliki pia,,,tukubali tukatae katoliki ni zaidi ya tuijuavyo!!! Tufike wakati tukubali
Mumeona eeh umuhimu wa kuwekeza elimu, ingekuwa ni nshomile ameleta hii mada, watu wangetukana humu mpaka basi.Ndugu zangu naomba kuuliza hili swali maana nimetamani nimhamishe mwanangu shule hapa Dar aende tu Mbeya.
Hivi kwanini watu wa Mbeya wanaakili nyingi mitihani yote wanachukua kumi bora wao.
Inamaana hii mikoa mingine ni mbumbu au kuna nini
Duuu!Joto husababisha ubongo ku- over heat
Mmmh kamba hii mbona top 10 ipo mkuuMwaka huu Mikoa yenye wapigakura wengi kutoka Kanda Ya Ziwa imeangukia pia ndio maana serikali Kwa sababu za kisiasa hawajatoa top ten ya mikoa kama miaka mingine.
Ubongo ni kama engine, perfomance ni nzuri kwenye cool weather 🤣Duuu!
Km watumishi wa umma wanaweza kutumiwa kuiba uchanguzi kwann washindwe kuvujisha Pepa. Yote yawezekanaMkuu tuhuma ya kununua mitihani ni nzito na kama huna ushahidi Kaa kimya. Pia kumbuka mitihani inayoandaliwa na necta ni miongoni mwa Siri za nchi
Kutoa top ten ya shule sio kuwa top ten kimkoa.
But hata hivyo wasomi wengi sana ni mbeya na bukoba fanya tafiti zako coz hata mahofisini wamejaa haoUkichunguza vizuri hao watoto wa hiyo shule utagundua wengi hawatokei Mbeya bali wamefuata shule fulani iliyojengwa Mbeya.
Wanambeya halisi wanasoma shule za day hapo Mbeya, sasa nenda kafuatilie matokeo yao halafu uje utupe mrejesho hapa.
Mikoa ya wasukuma ambao ni wapigakura wa kimkakati imeangukia pua kwa hiyo serikali imekwepa kutoa matokeo kwa mikoa kwa sababu za kisiasa.Mkoa gani umeongoza?
Kabisa mkuu......alafu wajinga wachache wanasema et one zinatengenezwaMimi Gussie Mkinga wa Makete huko na Mwana CCM imara nimewanyoshea mikono watu wa Mbeya Katika matokeo ya Kidato Cha nne ya mwaka 2021.
Wanafunzi bora wote wanatoka huko kwenye shule iliyopo hapo mjini ya Wakatoliki ya St Francis.
Nafahamu kwa miaka mingi St Francis imewaabisha wanaume wa Tanzania tangu mwaka 1998 kwa kupiga one kali sana.
Hata hivyo siku ya interview yao mwaka 2010 nilimpeleka mtoto wa ndugu yangu aliyemaliza darasa la saba nilikutana na watahiniwa zaidi ya 40,000 waliomaliza darasa la saba lakini shule ilikuwa inahitaji watoto chini ya 150 tu.
Kwa kuwa mimi Gussie ni expert wa mambo ya shule, Nilimwambia mtoto wa ndugu yangu arembe mwandiko sana na atulie asifanye Mtihani kwa haraka haraka ili apate nafasi ya form one hapo na alifanikiwa.
Aligonga Division one ya Point 7 kama kawaida mwaka 2013.
Kama una mtoto smart wa darasa la saba usiogope mpeleke interview ya zaidi ya watu 200,000 huko Mbeya St Francis Halafu apite darasa la watu 100.
Tuache siasa mtoto kilaza hawezi pita.
Hiyo unajua kwann unavyo mpeleka mtoto pale St Francis unaweza kuta watoto wapo 2000 wanafanyiwa interview ......lkn nafasi ni 150GUSSIE,
..HONGERA kwa hiyo div 1 kali kabisa ya dogo.
Nina maswali matatu.
1. dogo alisoma shule ya msingi Dsm, au Mbeya, au kijijini?
2. je, dogo amepata div 1 kali kwasababu ya St.Francis au angefaulu hivyohivyo hata kama angesoma shule ya serikali?
3. ni asilimia ngapi ya wanafunzi wa St.Francis wanatoka ktk shule za msingi za mkoa wa Mbeya?
Kabisa mkuu......pia shule za serikali zinaangushwa na masomo ya sayansiUnataka kusema mtoto wa ndugu yako alipata shule kwasababu aliremba muandiko au alifaulu interview? au kuremba muandiko ilikuwa sifa ya ziada?
Whatever the case, sasa naona kuna haja pawe na ziara za walimu na wanafunzi wa shule za serikali kwenda kujifunza kwa hizi shule za private zinazofanya vizuri, naamini hata walimu wa serikali nao wanazidiwa viwango na hawa walimu wa private.
Lakini ziara hizo zianze pale ambapo shule za serikali zitakuwa na walimu wa kutosha kwa kila somo, na angalau idadi ya wanafunzi ipungue kwa kila darasa ili mwalimu apate muda mzuri wa kufuatilia maendeleo ya kila mwanafunzi wa somo lake.