Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

Kabisa mkuu
 
Ningekuelewa kama walioongoza kwenye list wangekuwa Wanyaki, Wasafwa, Wanyiha, Wanyamwanga n.k
 
Mbeya kuna shule ngapi mpaka unausifu mkoa mzima? Ukimchukua st Francis ukamwamishia sumbawanga atapata ziro?
Kuna panda hill ....Kuna Gods bridge.....hiz pia zimewahi kutoa T.O
 
Mbeya kuna shule ngapi mpaka unausifu mkoa mzima? Ukimchukua st Francis ukamwamishia sumbawanga atapata ziro?
Kuna panda hill ....Kuna Gods bridge.....hiz pia zimewahi kutoa T.O
 
We jamaa nakuchukuia sana... hasa pale ulipokuja na uzi wako wa Kutetea Kikokoteo kipya cha Wafanyakazi... Acha Unafiki Bro... 90% ya ndugu zako ni wafanyakazi either sekta binafsi au serikalini
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakni pia kila mtu ana haki ya kujiunga na private schools ......sema tu umaskin wetu
 
Kabsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…