Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

... ni kinyume chake; wazazi ndio wanaoichagua na kwa kuwa demand ni kubwa kuliko supply wafanyeje kama sio mchujo? Na duniani kote vigezo vya mchujo vinafahamika.

Siku wazazi wakiipuuza St. Francis wakapeleka watoto wachache kufanya interview ya F1, 90 say, naamini wala hawatafanyishwa mtihani badala yake watakuwa admitted wote. Hebu tujaribu kufanya hiyo experiment tuone.

Tusiilaumu shule kwa "kujichagulia"; tujilaumu sisi kwa "kuishobokea".
Kabisa mkuu
 
Ningekuelewa kama walioongoza kwenye list wangekuwa Wanyaki, Wasafwa, Wanyiha, Wanyamwanga n.k
 
Mbeya kuna shule ngapi mpaka unausifu mkoa mzima? Ukimchukua st Francis ukamwamishia sumbawanga atapata ziro?
Kuna panda hill ....Kuna Gods bridge.....hiz pia zimewahi kutoa T.O
 
Mbeya kuna shule ngapi mpaka unausifu mkoa mzima? Ukimchukua st Francis ukamwamishia sumbawanga atapata ziro?
Kuna panda hill ....Kuna Gods bridge.....hiz pia zimewahi kutoa T.O
 
We jamaa nakuchukuia sana... hasa pale ulipokuja na uzi wako wa Kutetea Kikokoteo kipya cha Wafanyakazi... Acha Unafiki Bro... 90% ya ndugu zako ni wafanyakazi either sekta binafsi au serikalini
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mitihani hii Bado Naamini haiko fair siku zote, Imagine una shindanisha wanafunzi kwa mtihani mmoja, ambao wamesoma mazingira tifauti, na access za material Ni tofauti, huduma ya ufundishwaji tofauti, upatikanaji wa mahitaji ya kimwili na kishule tofauti, level ya speed of understanding tofauti, etc etc.

Not all graves contains corpses of those who deserved to be there, but those who were doomed to die.
Lakni pia kila mtu ana haki ya kujiunga na private schools ......sema tu umaskin wetu
 
... wakati shule za serikali humchukua mwanafunzi wa F1 mwaka mzima kujua mwalimu "anaongea nini" (tatizo kubwa mno), za private wengi wanaopenya ni kutoka English mediums hivyo lugha sio issue from day one; inasadia kuongeza ufaulu kwani lugha sio kikwazo kwao.
Kabsaa
 
Back
Top Bottom