Africa Kilimo News
Member
- Jun 26, 2026
- 7
- 24
Kwani kufuga sio Kilimo? Unadhani wanafuga kama Masai na wasukuma?Pwani kimkakati ni eneo zuri kwq ajili ya viwanda na kilimo, wanaenda kutengeneza shida nyingine. Wataalam wa nchi hii sjui walisomea ujinga huko vyuoni?
Pwani miaka mingi ina wafugaji wa asili,maeneo yalitengwa tangu enzi za Nyerere,kuanzia Vigwaza ,Chamakweza huko kote ni maeneo ya wafugajiPwani kimkakati ni eneo zuri kwq ajili ya viwanda na kilimo, wanaenda kutengeneza shida nyingine. Wataalam wa nchi hii sjui walisomea ujinga huko vyuoni?
Siku hizi hadi Rufiji, Mkuranga, Kisarawe, Kibiti ni ng'ombe kwa kwenda mbele tu.Pwani miaka mingi ina wafugaji wa asili,maeneo yalitengwa tangu enzi za Nyerere,kuanzia Vigwaza ,Chamakweza huko kote ni maeneo ya wafugaji
Process zikoje kuomba hayo maeneo,masharti na ada kama zipoHuu ni mpango wa mkoa wa Pwani kugawa maeneo ya uwekezaji kwa ajili ya kufugia na kulima malisho(Min Ranch)ambapo kila mfugaji au mfugaji mtarajiwa atapewa ekari 125 sawa na hekta 50.
Masharti ni kufuga na kupanda malisho si kwa ajili ya kilimo, lengo likiwa kupata mashamba ya kisasa ya mifugo ambayo wafugaji watafuga kisasa bila kuhamahama .
Mpango huu ulianza miaka michache iliyopita lakini tarehe 19 Juni 2026 mkuu wa mkoa wa Pwani Mh. Abubakar Kunenge aliulezea kwa kirefu mbele ya Waziri mkuu Mh.Dr.Mwigulu Nchemba wakati wa ufunguzi wa mnada na maonesho ya mifugo ya Tri nations yaliyofanyika Mbogo Ranch Ubena Zomozi mkoa wa Pwani.
Mpango huu unaenda kuhamasisha ufugaji wa kisasa,ulimaji wa malisho na matumizi ya teknolojia za kisasa katika ufugaji.
kupata habari hizi kwa kirefu na habari nyingine za kilimo na ufugaji tembelea page ya Instagram ya africa_kilimo_news_
Humo utapata habari zote kuhusu yaliyojiri wakati wa maonesho ya mifugo kanda ya ziwa yaliyofanyika Shinyanga tarehe 30-31 Mei 2026,Maonesho ya siku ya ubunifu na teknolojia katika sekta ya maziwa yaliyofanyika TALIRI Tanga tarehe 11 Juni 2026 na Mnada na maonesho ya mifugo ya Tri nations yaliyofanyika Mbogo Ranch tarehe 19-21 Juni 2026.
View attachment 3643168View attachment 3643171
Pwani itaenda kugeuka jangwa soon
Mleta mada Africa Kilimo News njoo ujibuhapa, ni muhimu sana.Process zikoje kuomba hayo maeneo,masharti na ada kama zipo
Siyo ufugaji wa kuzurula kila mahali na mifugo.Pwani itaenda kugeuka jangwa soon
Kwani kufuga sio Kilimo? Unadhani wanafuga kama Masai na wasukuma?
Mleta mada Africa Kilimo News njoo ujibuhapa, ni muhimu sana.
Naam, Ngoja nimwite tena Africa Kilimo NewsWatu wanaleta mada za maana halafu wanapotea.
Watu wanaleta mada za maana halafu wanapotea.
Hili lilitolewa maelezo?
Uzi wa Mwaka huu mwezi wa 8Mpaka sasa hajarudi kutoa majibu labda October 29 ilipita naye doh.