Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Rombo tunataka mifumo(electronic) na siyo daftari za kwenye jumuhia. Hata ukiangalia uchawi wenu wa kinga wa zamani na sasa ni vitu viwili tofautiHuko Rombo mmeiba Register na kuchoma moto ofisi, warombo mna Akili za kizamani sana π
Warombo bado mnafungia Chatu majumbani, uchawi wa kizamani sana πRombo tunataka mifumo(electronic) na siyo daftari za kwenye jumuhia. Hata ukiangalia uchawi wenu wa kinga wa zamani na sasa ni vitu viwili tofauti
Wanatumia ubongo sio kama wale vibaka wa chadema (Bawacha)UWT mnafanya vyema sn
Mpigie simu umuulize.Kwani mrema wa chadema anasemaje?
Na Lema Je?Mpigie simu umuulize.
Weka chanzo cha habari tukidadavue.Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%
Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa
Rip Mzee Mohamed Kibao
Utapewa namba yake wakati unaongea na Mrema.Na Lema Je?
Kwanini wakinga mnavaa sendo/viatu vya kuogea mkiwa dukani na kukunja suruali? mnafanya uchawi wa kishamba snWarombo bado mnafungia Chatu majumbani, uchawi wa kizamani sana π
UWT mnajipenda snWanatumia ubongo sio kama wale vibaka wa chadema (Bawacha)
Uchumi wa Wakinga chini ya Balozi wa heshima wa Marekani Bilionea Sugu ndio unaendesha nchi kwa sasa πππKwanini wakinga mnavaa sendo/viatu vya kuogea mkiwa dukani na kukunja suruali? mnafanya uchawi wa kishamba sn
Hivi wakinga huwa mnaingia kanisani na hirizi zenu ama mnazivua mkitoka mnazivaa tena?Uchumi wa Wakinga chini ya Balozi wa heshima wa Marekani Bilionea Sugu ndio unaendesha nchi kwa sasa πππ
Watakuwa wamepewa ruhusa toka kwa mzee wetu ,nisamehe nauliza hivyo kwa maana hiki chama kila mwanachama ana masharubu sasa sijui ni sera ya chama au ni idhini ya mzee?Utapewa namba yake wakati unaongea na Mrema.
100%
THIS IS STUPIDITY OF THE HIGHEST DEGREE! kuna siku mtaliaTusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%
Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa
Rip Mzee Mohamed Kibao