LGE2024 Mkoa wa Tanga pekee ndio umevuka lengo la Uandikishaji Wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuandikisha 101.13%

LGE2024 Mkoa wa Tanga pekee ndio umevuka lengo la Uandikishaji Wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuandikisha 101.13%

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake

Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi

Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%

Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%

Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa

Rip Mzee Mohamed Kibao
Weka chanzo cha habari tukidadavue.
 
Utapewa namba yake wakati unaongea na Mrema.
Watakuwa wamepewa ruhusa toka kwa mzee wetu ,nisamehe nauliza hivyo kwa maana hiki chama kila mwanachama ana masharubu sasa sijui ni sera ya chama au ni idhini ya mzee?
 
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake

Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi

Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%

Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%

Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa

Rip Mzee Mohamed Kibao
THIS IS STUPIDITY OF THE HIGHEST DEGREE! kuna siku mtalia
Hii ilikuwa Liberia search utaona mnachokifanya kuna siku tutakuwa hatupo tumekufa vizazi vitasoma vitabu vy akina Mdude....watalipiza kisasi. acheni huo ujinga....
1729551974668.jpeg

In 1980, Liberian ministers were lined up on a beach. Facing a firing squad.
 
My observation ni kuwa watu wamegoma kujiandikisha, .................................... johnthebaptist
I am not living in Tanga but i am a regular visitor of tanga as I have my houses there
 
Mpina aliisha sema mawaziri na manaibu waziri zaidi ya 10 wanatoka mkoa wa Tanga. Unategemea nini?
 
Back
Top Bottom