mnyamwezi unaumia ukiwa wapiLakini mmmh hata Tabora nao wamo!!
Hawapendi shule.Kazi yao kula ntalali,ndati na kuwinda kantyentye.Serikali ikatimize wajibu wake kuondoa ujinga kwenye hiyo mikoa.
Lakini mmmh hata Tabora nao wamo!!
😆😆Hawapendi shule.Kazi yao kula ntalali,ndati na kuwinda kanyentye.
Usinipe kabila hilo mkuu.mnyamwezi unaumia ukiwa wapi
Ntalai, ndati na kanyetye ni vitu gani hivyo mkuu?Hawapendi shule.Kazi yao kula ntalali,ndati na kuwinda kanyentye.
Atakuwa yupo marekani, wanyamwezi si wamarekani?mnyamwezi unaumia ukiwa wapi
Ntalali na ndati ni matunda.Kantyentye ni vindege vya porini.Ntalai, ndati na kanyetye ni vitu gani hivyo mkuu?