Mkoa wako upo?

Kwani kutojua kusoma na kuandika ndiyo ujinga? Mbona kuna mijitu imesoma lakini ni mijinga ya kwanza? Kwa mfano hii inayolipwa hizi buku saba saba ili ibong'oe si ni mijinga kuliko hata hao wasiojua kusoma wala kuandika?

 
Orodha ni feki Bila takwimu chambuzi, na zenye ushahidi mkuu wangu, orodha ni feki Bila kuwepo mkoa wa Ruvuma nahisi ni namba moja!
 
National Bureau Of Statistics [NBS]
Mbona Kama Sasa Wanatoa Taarifa Ambazo Hazijengi Endapo Hii Wametoa Wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…