kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa, na kwa kuwa nia yako ni njema.Huwezi kufanya Jambo la kuhoji raia locally Tu je ikitokea kuna watu wameenda kutoa taarifa polisi kwamba kuna mtu anazunguka na kuzungumza na raia kuhusu changamoto za mji huoni kwamba unaweza kamatwa ikakuletea shida ukizngatia nchi hii CCM wameshafanya kama Yao na familia zao watajua Tu mi ni chadema Yanini sasa kupelekwa mahabusu na kusumbuliwa huyo mbunge mwnyew engineer Hana lolote Naye anakalamika Tu haelewi biharamulo shida ni nn hiki nnachokisema nna uhakika nacho.
Pili nilitaka utafiti wangu uwe official si WA hovyohovyo Tu na nilitaka tumia miezi mitatu kisha nitoe report sa kama ningeufanya gzani ingesaidia nini sasa zaidi ya kupoteza muda tu
Jaribu kumshirikisha na DC.