Mkoa wangu wa Kagera tunakwama wapi?

Nimekuelewa, na kwa kuwa nia yako ni njema.
Jaribu kumshirikisha na DC.
 
Punguzeni Ujuaji na kujifanya Mkoa wenu umeendelea kuliko Mikoa yote!Kwanza jiendelezeni kwa kuuza ardhi ili mpate mtaji wa kukiwamua!Unakutana na shamba Manispaa la Migomba kuubwa,ukiuliza eti hamuwez uza sbb mtakula ndizi
 
Achani ubinafs..ardhi mmeikumbatia hamtaki kuuzia wageni..sasa huo mji au mkoa utaendeleaje..biashara mnafanya kwa ukabila...mnazingua sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Achani ubinafs..ardhi mmeikumbatia hamtaki kuuzia wageni..sasa huo mji au mkoa utaendeleaje..biashara mnafanya kwa ukabila...mnazingua sana.

#MaendeleoHayanaChama
Umeisoma hoja yangu vizuri?
 
Umeisoma hoja yangu vizuri?
Nimeisoma na nmeielewa hao wasomi wa bukoba wabinafs ndio mana wamekimbilia kujenga dsm..kiufupi hata nyie tu hampendani..nmeish bkb nimeoa bukoba..nawajua vzr watu wa kagera.

Na malengo yangu makuu ndio hayo ya kuhamasisha wana Kagera kuwekeza Kagera. Na kuhamasisha uwekezaji zaidi ndani ya Kagera.
 
Majamaa mabinafsi sana ukiliweka moja sehemu baada ya mwaka unakuta ofisi yote imejaa ukoo mzima. Afu ukilogwa uoe Muhaya jua umewaolea Wahaya watakugongea sana
 
Watu wanaogopa masalia ya Amin yanaweza kulianzisha na kuharibu uwekezaji wao
 
Mkuu green nakuita hapa.
Na @kasinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…