Yeah..coz haina maana kama fedha zipo lakini hazitokiBasi kama hawajazipunguza fedha za wanahama watakuwa si wezi ila yawezekana kuna mkopaji kama yule aliyenopa kwenye mifuko ya kijamii kaingia mpaka huku. Hapa tunaweza kushuhudia sarakasi kama za fao la kujitoa.