DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kada Emmanuel Mkoha ambaye amebobea kwenye sekta ya madini akiwa amefanya kazi na Mashirikika ya Kimataifa ya uchimbaji madini kama Anglo Gold Ashanti na Barrick Gold amechukua fomu kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika jimbo la Ikungi Mashariki kumvaa Miraji Mtaturu ambaye naye amechukua fomu kutetea nafasi yake.