Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Huyu jamaa kashikilia soko la filamu hapa Tanzania kwa sasa. Yeye na wale wenzake ndio kama WCB ya filamu hapa nyumbani. Kila sehemu unayopita uswahilini, kwenye mabasi, vibanda umiza Super Star ni Mkojani. Ingekua sanaa inalipa Bongo jamaa angekua millionaire.