Mkojani yapaswa awe millionaire

Mkojani yapaswa awe millionaire

Anajiita Kipupwe Bachan hiyo mkojani ( mwenye lafudhi ya pwani au visiwani)ni uhusika ambao umempatia umaarufu.

Anaigiza na kina TinWhite kakake RichMavoko.

Walitofautiana na Ringo ambaye alikuwa na TinWhite.
20210204_090455.jpg
 
Sio wa kishua ila tu sio muangaliaji TV
Binafsi mimi pia siyo mtazamaji wa TV ila huyo Mkojani nimemjulia Instagram na YouTube.

Jamaa anahitahidi ila tatizo kubwa ni usambazaji wa kazi zao. Hauekeweki kabisa.

Wataishia kupata umaarufu tu.
 
Binafsi mimi pia siyo mtazamaji wa TV ila huyo Mkojani nimemjulia Instagram na YouTube.

Jamaa anahitahidi ila tatizo kubwa ni usambazaji wa kazi zao. Hauekeweki kabisa.

Wataishia kupata umaarufu tu.
Hebu picha yake tumuone
 
Sure sijui hana management? Ila kwa umaarufu aliokua nao alitakiwa awe na endorsements za kutosha
Tanzania endorsements zina madalali sana.

Na kibiashara unaweza kusema hakuna stiff competition ya kuyafanya makampuni yafanye aggressive marketing. Huwa yanafanya tu.

Ndio maana unakuta msanii mkubwa kabisa kama Alikiba hana endorsements za kueleweka.

Angalia hapo Nigeria tu au Kenya, unakuta msanii mpya tena mdogo tu lakini ana endorsements mpaka 9 peke yake.
 
NIMEAMINI HUWA WANALOGA AISEE...

HUYU ANAONGEA KAMA KAFUNGA MOTA MDOMONI...

HAKUNA KINACHOCHEKESHA KUTOKA KWAKE...
 
Sasa hivi amekua kama maji hata umkimbie utakutana nae. Wasiomjua Mkojani sasa labda wale watoto wa kishua tu.
Mimi sio wa kishua lakini simfahamu. Ndiyo maana nimefungua hii thread baada ya kuvutiwa na jina "mkojani". Maana pale posta umachingani kwangu kuna jamaa mmoja watu wanamuita mkojani. Ni kuli wa kubeba mizigo ya watu kutoka pale posta mpya mpaka bandari ya Zanzibar .
 
😀😀😀 sasa nina imani utakua umemfahamu hata kwa sura
 
Huyu mwamba ana kismati tu za movie zake kupendwa kwenye mabasi.

Na mimi pia nimemjulia kwenye mabasi ila kabla ajaanza kufanya comedy kwenye ile movie yake ambayo analazimika kuoa wake wawili bila kutarajia.

Kifupi ni mtu mwenye nidhamu na kipaji chake na naona anamalengo ya kuziba gape la mzee majuto,afanye bidii tu hakuna lishindikanalo chini ya jua.
 
Back
Top Bottom