Sasa hivi amekua kama maji hata umkimbie utakutana nae. Wasiomjua Mkojani sasa labda wale watoto wa kishua tu.Kiukweli Mimi ni kama nililazimishwa kutazama filam zake Kwa kupanda mabasi ya mikoani.
Sidhani kama naweza toa hela kununua kazi yake..
Ingawa nakubaliana na wewe sasa anatamba
Sasa hivi amekua kama maji hata umkimbie utakutana nae. Wasiomjua Mkojani sasa labda wale watoto wa kishua tu.Kiukweli Mimi ni kama nililazimishwa kutazama filam zake Kwa kupanda mabasi ya mikoani...
Sidhani kama naweza toa hela kununua kazi yake..
Ingawa nakubaliana na wewe sasa anatamba
Usiongee sana mimi simjui huyo jamaa hata anafananaje! Hebu picha yake tuone.Sasa hivi amekua kama maji hata umkimbie utakutana nae. Wasiomjua Mkojani sasa labda wale watoto wa kishua tu.
Naunga mkono hoja. Huyu Mkojani ndie alijiita Kipupwe sio mcheza sinema ni mchekeshaji tu yaani comedian. Na tunapopanda mabasi tunalazimishwa kuangalia vitu tusivyovitaka.Kiukweli Mimi ni kama nililazimishwa kutazama filam zake Kwa kupanda mabasi ya mikoani...
Sidhani kama naweza toa hela kununua kazi yake..
Ingawa nakubaliana na wewe sasa anatamba