Mkojani anapewa airtime kwenye mabasi sababu ya maadilimimi nilimuona kwenye basi la Moro nilikuaga simjui,tangu natoka Dar hadi Moro ni weka mkojani toa mkojani
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Sio wa kishua ila tu sio muangaliaji TV😁😁😁 kumbe wewe wa kishua
Naweza nikawa nimemuona ila simtambui kwa jina ndio maana nikaomba picha.Siku ukipanda gari ya mkoani utamuona au uko ukikutana na chalii kitaa atakupa habari zake
Binafsi mimi pia siyo mtazamaji wa TV ila huyo Mkojani nimemjulia Instagram na YouTube.Sio wa kishua ila tu sio muangaliaji TV
Sasa hivi amekua kama maji hata umkimbie utakutana nae. Wasiomjua Mkojani sasa labda wale watoto wa kishua tu.
Hebu picha yake tumuoneBinafsi mimi pia siyo mtazamaji wa TV ila huyo Mkojani nimemjulia Instagram na YouTube.
Jamaa anahitahidi ila tatizo kubwa ni usambazaji wa kazi zao. Hauekeweki kabisa.
Wataishia kupata umaarufu tu.
Tanzania endorsements zina madalali sana.Sure sijui hana management? Ila kwa umaarufu aliokua nao alitakiwa awe na endorsements za kutosha
Dunia ndivyo ilivyo, hakuna Kitu kinachoweza kukubalika na kila mtu. Hata Mungu kina Kiranga hawakubali, wanampinga🤣🤣🤣''Kwa Mie mbongo fleva napewa mtihani wa kinabii, ntaweza kweli''-Mkojani.
Nadhan Mkojani ni kama walivyo wasanii wengine wengi tu, kuna wanao mwelewa na kuna wasio mwelewa.
Kuna mtu kaweka clip hapo juu.Hebu picha yake tumuone
Duh! Kumbe walizinguana na Ringo shifa ilikuwa nini maana partenership yao ilikuwa matata.Anajiita Kipupwe Bachan hiyo mkojani ( mwenye lafudhi ya pwani au visiwani)ni uhusika ambao umempatia umaarufu.
Anaigiza na kina TinWhite kakake RichMavoko.
Walitofautiana na Ringo ambaye alikuwa na TinWhite. View attachment 1693946
Mimi sio wa kishua lakini simfahamu. Ndiyo maana nimefungua hii thread baada ya kuvutiwa na jina "mkojani". Maana pale posta umachingani kwangu kuna jamaa mmoja watu wanamuita mkojani. Ni kuli wa kubeba mizigo ya watu kutoka pale posta mpya mpaka bandari ya Zanzibar .Sasa hivi amekua kama maji hata umkimbie utakutana nae. Wasiomjua Mkojani sasa labda wale watoto wa kishua tu.
😀😀😀 sasa nina imani utakua umemfahamu hata kwa suraMimi sio wa kishua lakini simfahamu. Ndiyo maana nimefungua hii thread baada ya kuvutiwa na jina "mkojani". Maana pale posta umachingani kwangu kuna jamaa mmoja watu wanamuita mkojani. Ni kuli wa kubeba mizigo ya watu kutoka pale posta mpya mpaka bandari ya Zanzibar .
Ni msanii au ni nani katika tasnia ya filamuSasa hivi amekua kama maji hata umkimbie utakutana nae. Wasiomjua Mkojani sasa labda wale watoto wa kishua tu.