Sidhani kama kweli ni huyo msichana, hii ni ishara kuwa umepungukiwa maji kwa kiasi kikubwa sana mwilini, hii huwatokea sana walevi. Kama alivyokuambia smile hapo juu, ukazane kunywa maji mengi tena siyo ya kwenye friji.
Tembelea tovuti ifuatayo ukajifunze mengi kuhusu maji na usisite kuja kuwajulisha wengine ikiwa utafanikiwa: