Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 184
habari zenu wana jamvi, naombeni mnisaidie kwaanaejuañ nini kinasababisha mkojo kunuka kama mavi?
Msichana wangu wajazi akienda kukojoa chooni hapaingilikikwaajili ya
harufu0 kali na mbaya nini sababu ya hiyo hali au ni ugonjwa gani?
Ninisababu naombeni msaada wenukwa anaejua maana ananishikia mtoto mdogo naogopa.
0