Mkojo kutoa mapovu mengi...

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
 
Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
Jifunze kusalimia.......nimeshutuka nilipoona neno "inakuwaje"!!!! Any way subri wnakuja, pole sana.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
hata salama jombaa.punguza kunywa bia zenye mapovu anza na viroba.
 
Kwa wataalamu wa vijijini povu ni sign ya kuwa MTU sio bikra never kama hujashiriki has a mwanamke hukuti povu
 
Hi! unaendeleaje na mkojo kutoa povu bado hali inaendelea au ulitibu vip?
 
Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
Ulienda hospital kupima protin kwenye mkojo au kuangalia kama unatatizo la figo??
 
Mkojo kuwa na mapovu mengi ni kiashiria cha kiasi fulani cha protein kuwa kwenye mkojo. Kwa kawaida protein inapaswa kubaki kwenye damu. Ni mara chache chache protein inaonekana kwenye mkojo, ikizidi sana inaashia dosari kwenye figo.
Kama ikiendelea sana ni Bema ukamuona Daktari akusaidie kutafiti kama kuna ugonjwa, lakini mara nyingine mkojo unapochanganyika na shahawa inawezae kutoka na povu pia.
 
Asantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…